Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha ujue huyo kiumbe huwa hachoki anaweza akapotea ghafla akafanya maajabu anapiga pasi za aina zote kwa ufasaha sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, Tutaona itakavyokuwa japo itampa kocha wakati mgumu sana kumuelezea mchezaji yeyote kwamba ahakikishe huyo mtu achezi mpira, wakati na yeye anataka kujiexpress kama kina pogba na martial.
 
Kocha atajua anapanga vipi kikosi ila lazima tahadhari sana timu bado haijawa na muunganiko mzuri sana isije ikageuka kuwa disaster.
Wakianza kuingia golini huwa hawaishii Mara Moja
Hahahahaha, Tutaona itakavyokuwa japo itampa kocha wakati mgumu sana kumuelezea mchezaji yeyote kwamba ahakikishe huyo mtu achezi mpira, wakati na yeye anataka kujiexpress kama kina pogba na martial.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...

kwa kiungo kama Matic, Pogba ..mbele la Sissoko, Sanchez, Dele alli..



Sent using Jamii Forums mobile app
huyo dada yako spurs msimu uliyopita si tumemchapa twice ligi na fa akiwa na wachezaji hao hao na sisi wetu hao hao under specialist in failure Mou

pia wewe msimu huu umechapwa twice Jojina na Kante wakiwa field au unamzunguzia nini?? huenda sielewi

hebu shabikia mpira kama shabiki acha mapenzi kwani kuna timu ambayo haifungwi?
 
.HUKO kwenye kambi ya mazoezi ya Manchester United kumenoga kinoma. Kocha, Ole Gunnar Solskjaer amewapa uhuru wachezaji wake kufurahia maisha ya kuichezea Man United.

Mastaa wa Man United kwa sasa wanaishi maisha wanavyotaka.

Ndio maana hata juzi tu hapo, mastaa wa timu hiyo wakiongozwa na Romelu Lukaku, Anthony Martial na Andreas Perreira walipata nafasi ya kwenda kwa mchoma nyama maarufu huko Dubai, Salt Bae.

Man United kwa sasa imeweka kambi ya mazoezi huko Dubai, Falme za Kiarabu, ikifuata hali ya hewa ya joto kufanya mazoezi kujiandaa na mechi zijazo, ikiwamo dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye Ligi Kuu England wikiendi ijayo.

Kambi yake huko imenoga kwelikweli, ambapo mastaa wa timu hiyo wote wakionekana kufurahia mazoezi yao. Mastaa wote kama Antonio Valencia, Alexis Sanchez, Eric Bailly na Juan Mata wamekuwa wakifurahia hali ya joto ya eneo hilo.

Kocha Solskjaer amekuwa na kundi kubwa la wachezaji wake, akiwamo Eric Bailly, ambaye alionyeshwa kadi nyekundu kwenye mechi iliyopita ya ligi, lakini Jesse Lingard akiwachekesha wenzake wa kupiga selfie kwa kutumikia kamera ya kawaida.

Marcos Rojo na Fred hawakuonekana kwenye kambi hiyo na wenzao, wakati wakijifua kwenye viwanja vya Nad Al Sheba Sports Complex.

Alipoulizwa Kocha Solskjaer kuhusu mastaa hao alisema: “Marcos Rojo amerudi nyumbani kwa sababu ya majeraha yake kuwa makubwa tofauti na ilivyofikiriwa. Fred anatarajia mtoto.”

Kwenye kikosi cha kwanza, mastaa hao wawili Rojo na Fred ndio wanaompunguzia hesabu Kocha Solskjaer katika mkakati wake wa kuwapa mambo matamu wachezaji wake wote, huku akiwambia ni afya kwa wachezaji wa timu moja kulumbana ndani ya uwanja kama ikionekana mmoja hatimizi majukumu yake ipasavyo.Kuondoka kwa Jose Mourinho, maisha ya wachezaji yameonekana kuwa na furaha zaidi kwa sasa.
 
i prefer Sanchez to Martial, Young to Valencia, Smalling to Jones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…