Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole Gunnar solskjaer amatembulishaa mfumu wa upigajii pass uwanjani unaoitwaa *PASSING MATRIX*
Na alianzaa kuutumia kwenye mechi dhidii ya Newcastle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leteni Mipango hawa Spurs tunawauwaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game tukitaka kushinda tutumie advantage ya kuwazidi katikati

United ipo vizuri kuliko Spurs katikati, hususani kipindi hiki ambako hawana Dembele, Wanyama na wanategemea kumtumia Sissoko mchezaji ambaye dirisha lililopita walipanga kumuuza kutokana na kiwango duni.

Ninaamini hii game OGS atashinda akijipanga kwenye kitovu cha uwanja

Kwa Spurs sioni nani wa ku deal na mid 3 ya Matic, Herrera na Pogba.

Harry Kane ambaye ndiye mchezaji tishio kwa timu pinzani Spurs inapocheza, hatapata huduma nzuri pindi kiungo yao inapo struggle

Beki yao yenye Vertonghen /Aldewered/ Sanchez ni nzuri lakini sidhani kama inaweza ku cope na pace ya Rashford, Lukaku na Martial. Poch atajichanganya zaidi kama akimpanga yule dogo beki wa kati kwa kiburi cha kumuadhibu Alderewered aliyegoma kusaini mkataba wa muda mrefu.

Spurs wanaweza kuiadhibu United kwa Umaridadi wa mtu kama Ericksen na Kane na UBOVU WA BEKI HUSUSANI YA KATI YA UNITED. Nje ya hapo sioni Spurs wakichomoka.

Rashford na Martial wakiacha utoto (wakati flani), wakiacha uchoyo wa kutoa pasi, wakiwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi hakuna wa kuwazuia kuifunga Spurs.

Wembley has never felt like home for Spurs once they play elite clubs


Sent using Jamii Forums mobile app
 
asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...

kwa kiungo kama Matic, Pogba ..mbele la Sissoko, Sanchez, Dele alli..



Sent using Jamii Forums mobile app
hao viungo walikuwepo Stanford Bridge na walisawazisha kwa hisani ya refa mbele ya viungo hao Matac PP na Herrera unaswali kama hakuna tukutane j2
 
Nice..umetisha mkuu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhai wa Spurs unategemea sana uhai wa Eriksen uwanjani ukimpoteza huyu hawa wengine ni rahisi kuwazima.

Movement za huyu jamaa ni kama za Modric pale Madrid lazima umtyt huyu kina Sissoko na Heung min son wanakabika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha

watu mnapenda kukaba jamani, Muambiwe mara ngapi Man U will be attacking attacking and attacking henceforth...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…