21 year old Macus Rashford. Is turning to be the new Manchester United leader on the pitch something that have been missing for years now . The kid have been consistent and just keep on improving.He most be working extremely hard in the background. I feel he wants to follow the footstep of his idol Christiano Ronaldo.
The free kicks, the runs, the dribbles, the work rate, the eye on gaol etc
21years of ageThe future is bright
Manchester United for ever
Hiyo mech tunamhitaji sana martial mech ya leo ilikuwa ngumu sana wale jamaa hawakupi nafasi kidogo martial alibanwa sanchez aingie kipind cha piliKwa game na tot aisee sanchez anatakiwa anza na martial
Fact mkuu
Martial alitupia mechi tuliyoshinda 5 - 1, mechi dhidi ya Huddersfield Town hata benchi hakuwepo.Toka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu fred kwanini hachezi ole kagundua nini toka kwake toka acheze ile game moja tu?Hiyo mech tunamhitaji sana martial mech ya leo ilikuwa ngumu sana wale jamaa hawakupi nafasi kidogo martial alibanwa sanchez aingie kipind cha pili
Fred bado hajawa vizur hasa upigaji wa pasi na kuanzisha mashambulizi ukiangalia hererra na matic saiv wanapeleka sana timu mbeleHivi huyu fred kwanini hachezi ole kagundua nini toka kwake toka acheze ile game moja tu?
Jorginyo kabiga pass 100+,MOTM.Nahitaji matokeo ya kina jorginyo huko.....
Mwenye ambae anajua anipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama pogba na lukaku wasingetanguliza ubinafs dakika za lala salama tungevuna goli nne
Namuona lindelof kaanza kuwa mgumu anatakiwa kumpata kaka yake sasaHuyu Lindelof ndio Mourinho alituaminisha sio mchezaji mzuri duh
Kweli mpira ni kocha mkuu kabadilika nae leoLukaku alikuwa analipa kisasi cha kunyimwa pasi
But ile tabia ya lukaku kushindwa kumiliki mpira imeisha gafla. Sijui morinyo alimpa nini huyu bwana
Leo kacheza kama yupo national team
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah hongera kwa mipasi yake. Lukaku kapiga pasi nne na goli moja
Herrera anaperform vizuri.Hivi huyu fred kwanini hachezi ole kagundua nini toka kwake toka acheze ile game moja tu?
Muda ulipokwenda nilimuona anaanza kurudi katika hali yake ya kujiamini sanchez baada ya mech chache atakuwa poaDaaa Sanchez utadhani amesahau kucheza mpira sasa anajaribu kujikumbushakumbusha. Hongera sana kwa timu yetu kucheza vizuri na kupata ushindi mzuri sana. Angalau Leo clean sheet imepatikana
Sent using Jamii Forums mobile app