Fred pia anaweza kufanya majukumu ya Herrera japo hata mimi ninamuamini zaidi HerreraNamwona Matic akichoka sana leo na defence kuwa exposed. Herera ni muhimu kuimarisha kiungo.
Hata mimi naiona kudorola. Kutokana na hali yetu hakuhitaji cha rotation, inatakiwa full mziki ku-restore confidence.Mbona kama game ya leo itatua matokeo ya ajabu
Ramli zako si utawala wa OGSMbona kama game ya leo itatua matokeo ya ajabu
Ata wagharimu huyu Fred asipojirekebishaAnaye elewa Fred anacheza nini anielekeze kidogo
First half hii sijamuelewa kabisa kijana naona kapwaya sijui jana alikula sana pilauAnaye elewa Fred anacheza nini anielekeze kidogo
HapanaItakuwa ndio goli la kwanza la Matic tangu aje Man united.