Hao wengine sihangaiki nao, Schmichel ndio anaongoza clean sheets premier for all time (100 clean sheets) na amebeba makombe kuliko Degea halafu unasema kwenye msimamo wa ligi yupo chini ya Degeaunazungumzia kuhusu position??
Schmeichel
Ben Foster
Begovic
Hennessey
McCarthy
Dubravka
Rui Patricio
Jordan Pickford
hao makipa hapo wanaklin shits nyingi kuliko De Gea lakini kwenye msimamo wa ligi wote wapo chini ya De Gea that is why nikakuambia acha nikariri nnayokariri
Football its all about three points acha mimi nikariri hivyo
De gea alikuwa na most clean sheets katika PL last season lakini ndoo alichukua City
nawe kariri unavyokariri ova
Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi
Uwe unaelewa na si kukariri
unamzunguzia Schmeichel gani mkuu?? angalia usiwe wewe ndo unaedanganya me namzungumzia Kasper Schmeichel na sio baba nazungumzia recently issuesHao wengine sihangaiki nao, Schmichel ndio anaongoza clean sheets premier for all time (100 clean sheets) na amebeba makombe kuliko Degea halafu unasema kwenye msimamo wa ligi yupo chini ya Degea
Elewa, Acha kukariri na kudanganya
Clean sheets zinasaidia kuiweka timu pazuri. Period.
you nailed itHapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.
Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.
• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri
Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0
• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimuHapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.
Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.
• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri
Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0
• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.
Na ikuchua hata maisha yako yote, sio lazima uamini ninachoaminiunamzunguzia Schmeichel gani mkuu?? angalia usiwe wewe ndo unaedanganya me namzungumzia Kasper Schmeichel na sio baba nazungumzia recently issues
Burki na Ter Stergen hao ni makipa wa Dortmund na Barcelona hawapo katika top four ya clean sheet ktk ligi zao lakini timu zao zinaongoza ligi
itanichukua miaka miaka mingi sana kuamini kile unachoamini wewe
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimu
Mfano Leicester 2016/2017 kuna game nyingi alishinda kwa kagoli kamoja tu
Kwanini umetoa mfano wa 5-2 na si 5-4?, kwanini umetoa mfano wa 1-0 na si 3-0, naona mfano wako upo bias.
All in all, timu hata iwe na washambuliaji wakali kiasi gani, Kama ina defence inayovuja, basi ni ndoto kushinda taji.
Nakubaliana na wewe kwa sehemu lakini umeangalia umuhimu wa goli katika goli deference mwisho wa ligi, hujaangalia umuhimu wa goli katika kuleta points 3 muhimu
Mfano Leicester 2016/2017/
Kwanini umetoa mfano wa 5-2 na si 5-4
Hapo umezungumzia Goal Scored na si Goal Defference.
NOTE:
• Katika Comment yangu nimezungumzia umuhimu Wa Goal difference (GD) na si Goal Scored (GS).
• Wingi Wa GD ndiyo unaotakiwa na si Wingi Wa GS.
• Unaweza Funga Magoli 101 per season, lakini Ukafungwa Magoli 51 katika season hii hii.
Hapo GD Ni 50 tu.
• Lakini Waweza funga magoli 71 tu per season, Na wewe ukafungwa magoli 16.
Hapo GD Ni 55.
• Kwahiyo Kutolea mfano Wa 5 - 2 bado nipo sahihi kwani Kukosa Clean sheet inaanzia na goli moja tu, na sio lazima yawe Manne.
In that sense unaamini, bora 5-2 kuliko 4-0?
au unaamini bora 5-5 kuliko 1-0?
Clean sheets pia zinasaidia kuweka ukubwa kwenye goal difference
Mbona hujasema msimu wa mwisho wa babu Fegi? Alichukua ubingwe akiwa na ukuta mbovu kabisa, gemu nyiingi akishinda kwa 4:3, 3:2, 4:2 na kadhalikaHayo ni mawazo yako, na ninayaheshimu
Timu zote zinapata mafanikio ya kubeba ndoo, defensively lazima wawe solid
Angalia Leicester iliyochukua kombe 2016
Angalia Manchester City iliyochukua kombe 2017/2018
Angalia Liverpool ya msimu uliopita ilifunga sana lakini ikaruhusu sana kufungwa, na ikaishia kuwa msindikizaji
Angalia Liverpool ya mwaka huu, ina clean sheet zakutosha na angalia ilipo kwenye msimamo wa ligi
Wewe endelea kukariri tu kuwa Mourinho ndio alikuwa anapenda ulinzi imara, kila kocha mwenye kutaka makombe anataka ulinzi imara
Sawa kabisa mkuuhuu ni msimu wa tatu kipa wa tiko tiko ndo anakuwa kipa mwenye klin shit nyingi kuanzia la liga mpaka ulaya nzima kwa msimu anaondok na klin shit 23+ lakini makombe wanachukua Barca
nadhani wewe ndo umekariri
Ivi hii picha inaweza kukusaidia bila ya Mimi kueleza chochote?
• Liverpool ana Clean sheets 11
• Man City ana Clean sheets 8 tu
Then why MC awe GD kubwa?
View attachment 975962
Mbona hujasema msimu wa mwisho wa babu Fegi? Alichukua ubingwe akiwa na ukuta mbovu kabisa, gemu nyiingi akishinda kwa 4:3, 3:2, 4:2 na kadhalika[/QUOTE
Degea alikuwa ana clean sheets 11, kwa mtazamo wangu hazikuwa chache.
Lakini kigezo cha clean sheets sio kigezo pekee, ieleweke hivyo. Lakini timu inayoweza kuwa na clean sheets nyingi inakuwa na chance kubwa ya kufanya vizuri
Hamna lolote ukiwa na safu nzuri ya ushambuliaji utabeba ubingwa hata kama kila mechi utaruhusu magoli na mfano nimekupa msimu wa mwisho wa sir Alex, na jamaa kakupa mfano wa tico tico hapo kwa misimu 3 mfululizo wanaongoza kwa clean sheet lkn ubingwa wanausikia tuUwe unaelewa, ninachomaanisha hapa ni implication ya clean ya sheets ni kwamba timu ina ruhusu kufungwa mara chache hivyo, ni rahisi kukusanya points hata inapofunga goli moja, au magoli machache
Imagine mechi ya Southampton, Newcastle, Brighton, Wolves United angepata clean sheet angekuwa wapi kwenye ligi?
Hata hao unaotoa mfano wasingekuwa na hizo clean sheets may be wangekuwa wanamaliza ligi kwenye nafasi za 6 au 7
Ukweli ni kwamba, timu with the most clean sheets ina nafasi kubwa ya kuwa kwenye nafasi nzuri ya ligi na kuchukua makombe, Italia ipo hivyo, Ujerumani ipo hivyo, Ufaransa ipo hata Tanzania ipo hivyo.
Wewe umeangalia kamfano kako kamoja ka La Liga, ambapo hata huyo bingwa alikuwa wa 2 kwenye kuwa na clean sheets nyingi. KWA HIYO CLEAN SHEETS (SOLID DEFENCE) DO MATTER.
Na timu with the least clean sheets ina nafasi kubwa ya kushuka daraja au kuwa pabaya kwenye msimamo wa ligi hata ukiangalia kwenye ligi mbalimbali ipo hivyo
Kama hujali clean sheets cheza ovyo ovyo bila kuzingatia defense kama Evertoon upigwe 6 kwa 2 tuone kama utafurahi.
NARUDIA TENA, ACHENI KUKARIRI. MPIRA SIO KUSHAMBULIA PEKEE, LAZIMA UTAFUTE BALANCE KATI KUSHAMBULIA NA KULINDA.
Sasa hivi Uingereza, Liverpool na City ndio wanaoongoza clean sheets na ndio wapo top 2, Chelsea na Spurs wanafuata kwa clean sheets na wapo top 4.
ACHA KUKARIRI MKUU
Mkuu yy ndo anakaririFootball its all about three points acha mimi nikariri hivyo
De gea alikuwa na most clean sheets katika PL last season lakini ndoo alichukua City
nawe kariri unavyokariri ova
Kwani lengo ni kushika nafasi ya pili au bingwa?Alikuwa na most clean sheet na timu yake ilikuwa ya pili, mwaka huu ana clean chache na timu yake ipo namba ngapi
Uwe unaelewa na si kukariri
Hahahahha mnyooshe mkuuunazungumzia kuhusu position??
Schmeichel Leicester
Ben Foster Watford
Begovic Bournemouth
Hennessey C. Palace
McCarthy Soton
Dubravka Newcastle
Rui Patricio Wolves
Jordan Pickford Everton
hao makipa hapo wanaklin shits nyingi kuliko De Gea lakini kwenye msimamo wa ligi wote wapo chini ya De Gea that is why nikakuambia acha nikariri nnayokariri
Umemaliza mkuuHapa ninavyosoma Majadiliano Yenu Naona Nyote Mupo Sahihi ila Munapishana Kwenye Uwasilishaji tu.
Naweza Kusaidia kidogo:
• 3 Points with big number of Goal difference bila ya Kujali Idadi ya Clean sheeta ndiyo muhimu zaidi.
• 3 Points na Idadi Kubwa ya Clean Sheets with few number of Goal difference inaweza kuleta Matatizo mwisho Wa Msimu! Hii siyo Nzuri
Conclusion:
• Wingi Wa Points na Idadi Kubwa ya Goal Deference ndiyo Mafanikio Zaidi.
Mfano 5 - 2 ni bora kuliko 1 - 0
• Clean sheets only inasaidia Kudetermine kuwa BEKI na KIPA ni bora.
hata sasa Oblak anaongoza kwa clean sheets La liga lakini Barca yupo top na kipa wa Barca yupo out of top 4 kwa clean sheets this seasonHamna lolote ukiwa na safu nzuri ya ushambuliaji utabeba ubingwa hata kama kila mechi utaruhusu magoli na mfano nimekupa msimu wa mwisho wa sir Alex, na jamaa kakupa mfano wa tico tico hapo kwa misimu 3 mfululizo wanaongoza kwa clean sheet lkn ubingwa wanausikia tu