Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Raha juu ya raha,huwezi kuamini team ile ile wachezaji wale wale mpira tofauti kabisa.
Jose anastahili kupelekwa ICC
jamaa umenifurahisha sana,wasiishie kumfukuza tu wamfungulie na mashtaka kabisa.
 
Now Man utd is back...

Yaani unaangalia mpira huku ukipata hasira namna dk zinavoyoyoma kwa kasi.. unaangalia kushoto, kulia,mbele,katikati unaona kabisa kila mmoja anafanya kazi kwa kujituma huku sura yake ikipambwa na tabasamu mwanana..Yaani mnaongoza goli nne lakini mpira unachezwa kanakwamba hakuna goli mlilofunga.. yaani unaona kabisa mpaka beki anauchu kwelikweli wa kupata walau goli moja....

Guys huu mpira tuliuficha wapi...

Timu ni ileile wachezaji walewale lakini mbona uchezaji ni tofauti... Mou alituharibia timu.!! Mbinu zake zilishakwenda na Inter porto na Chelsea kipindi hicho... soka la leo Unadeffend kwa kumiliki mpira na si kukaba mpira na wachezaji 6..!! Ingekuwa kipindi cha Mou tulivyoongoza goli mbili tu angeshafanya sub ya washbuliaji watatu na kuingiza kiungo na beki wawili..Angepiga marufuku lindolf na Jones kupanda kuvuka box la Degea...!! Viungo wote pamoja na beki wangeshakula kadi za njano..!!

Asante Ole, jana tumeuona mpira haswa... Yaani beki zilikuwa zinapanda mpaka half ya half ya Cardiff...!! Degea alikuwa likizo for a while namuona kabisa anapiga story na ballboys..!! Timu nzima jana aliyepata kadi ni Shaw peke yake naye ni kujisahau alidhani bado Mou yuko sababu nilimuona akisitasita kuicheza ile faul... Naam guys timu inaongoza goli tatu waache wachezaji waonyeshe wananini cha kufidia gharama walizolipa mashabiki kuja kutazama soka uwanjani na si mieleka..!! Jana vimegongwa sigino mle ndani utafikir ni kuku wanaochezea mpira.. yaani zinapigwa pasi mpk mtu unatoka kwenda kununua Heinken halafu unarudi ndani kuendelea kujiburudisha.. Yeah kwanini ujipunje. .!!

Ndio tumecheza na timu inayoshika nafasi ya nne toka mwisho epl... Lakini tunasema ile spirit iliyoonyeshwa jana hatujawahi kuiona kwa kipindi kirefu Ot.. So mwanzo ni mzuri na mategemeo huko mbele ni makubwa.. kubwa tunaloshukuru kwa uongozi ni kutuletea Phelan... uwepo wake na Carrick ni kitu kikubwa sana kwa club mi sishangilii sana kwa Ole ila uwepo wa watu hao hapo juu.

GGMU GGMU GGMU GGMUGGMU
 

Weka akiba ya meneno shabiki mwenzangu
United
 

Usiombe kumwona muda wa presentation sasa, unaweza kudhani ripoti yote kafanya peke yake, hata ku-acknowledge input ya subordinate hakuna.
 
Master anamfundisha stering, Master anauliwa na kubwa la Maadui,stering anaenda ku revenge kifo Cha Master kwa kubwa la Maadui...umeelewa?

Jibu la kizushi
 
Mkuu umenichekesha saaaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…