Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
kwli kaka ila ukizubgumzia man u ni klavu jubwa na tajir upo uwezekano wa kulipwa mou na kushawish kocha kama pochettino luis henrq na ancellot hoa wote kwa timu walizo kuwepo hawazez kataa ofa kutika man u bro sababu bora ivyo kuluko hasara itakapo kuja kuwa kasndwa kuingia top 4 na kashndwa kuipeleka timu urop ina mana timu ita pungukiwa mapato kwa kias kikubwa ss bora kuikabili na kuzuia ilo kwa ss ila mtu kama edwood co sahih kwa man u....man u wali itaji mtu kama Levy wa Spurs...Ka sasa huwezi kupata kocha mpya wa kuipeleka United mbele, labda uwe unataka kubadili tu sura ya kocha ambapo baadae utataka naye afukuzwe (Nadhani utakubaliana na mimi muda wa majaribio ya makocha umekwisha sasa)
Pia Jose akifukuzwa sasa hivi itabidi alipwe full package ya fidia kwakuwa ameiambia bodi bado anauwezo wa kuingia top four (minimum requirement ya Glazers) mpaka msimu unapoelekea kuisha. Kwa hiyo United wataweza kumfukuza Jose pindi itakapokuwa dhahiri kwamba hawawezi kuingia top four.
Solution iliyopo endapo Jose atafukuzwa na kuweka kocha ambaye atakuwa Caretaker wa timu, mtu kama Carrick na MC Kena ambao tayari wapo kama makocha wasaidizi (Je hao vijana wapo tayari, Kumbuka Carrick hana uzoefu wowote, na MC Kena alikuwa na watoto wa under 18)
Sahizi hao makocha wote watakataa Mkuu,they are very professional! Kwa hiyo watakachofanya wataomba hilo lifanyike mwisho Wa msimu ili waambie mapema waajiri wao Wa sasa waanze kutafuta mbadalakwli kaka ila ukizubgumzia man u ni klavu jubwa na tajir upo uwezekano wa kulipwa mou na kushawish kocha kama pochettino luis henrq na ancellot hoa wote kwa timu walizo kuwepo hawazez kataa ofa kutika man u bro sababu bora ivyo kuluko hasara itakapo kuja kuwa kasndwa kuingia top 4 na kashndwa kuipeleka timu urop ina mana timu ita pungukiwa mapato kwa kias kikubwa ss bora kuikabili na kuzuia ilo kwa ss ila mtu kama edwood co sahih kwa man u....man u wali itaji mtu kama Levy wa Spurs...
Yeap...ilo sawaSahizi hao makocha wote watakataa Mkuu,they are very professional! Kwa hiyo watakachofanya wataomba hilo lifanyike mwisho Wa msimu ili waambie mapema waajiri wao Wa sasa waanze kutafuta mbadala
Ha ha ha mbinu za Mwl kiuchezaji na kiupangaji timu ni feki kabisa. Siyo palace tu sidhani kama kuna timu tunayoizidi kucheza mpira mzuri EPLYeap...ilo sawa
ila kuliko kuacha jamaa aendelee kutudestry ni her timu akapewa MC...unajua walicho tuzd man cty na wengne walio bora ni sprit tu na hakuna kingne mm c amini katk wengne wanao sema timu haina wachezaji sio kweli ukiandga"ia man cty kweli ina watu wengi wenye vipaji na je crystar palece pia wana watu wazur kutuzd ss...msn wao wanacheza vizur kuliko man u
Akikujibu unitagNadhani Spurs hawajasajili mtu msimu huu lakini wanafanya vizuri
Acha maneno matupu wewe...Asee pogba ni mchezaji mwingine asiyetakiwa pale kwenye timu. Mimi mchezaji anayetaka kuabudiwa na timu halafu hana jipya sipendi sana. Yule mchezaji no miongoni mwa wanaoigharimu sana timu. Hajitumi,hana kasi Wa nini sasa? Lukaku si mshambuliaji mzuri kwa sababu hata kukontro mpira ni shida,pili pasi zake si za uhakika,ni mzito kidogo kwenye kufanya maamuzi,amenenepa zaidi, kwa kifupi yule mchezaji no kama Gaudence Mwaikimba enzi zake. Nishawahi sema Man U haiwezi fanikiwa kwa kumtegemea lukaku kama main striker. Toa Huyo tafuta Mauro Icardi au Beloti,ikishindikana kabisa hata Morata jinga kabisa lile. Mourinho afukuzwe haraka iwezekanavyo
Kwako wewe mchezaji kujituma ni nini ???Hapana ndugu,yule mchezaji naamini angecheza basi timu ingecheza hovyo zaidi na pengine zisingekuwa 3. Mou na Pogba wote shida tu. Hajitumi kabisa,angalia Sanchez mpira umegoma ila unaona jitihada zake ila huyu gang star rapper ni shida asee. Na shida ni kwamba ukimkumbatia mchezaji Wa aina ya pogba basi tegemea hata akija kocha mwingine siku akiamua atamletea ujinga tu.
Si sehemu yake hapa ni vizuri ukaifungue kwenye celebrities forum.*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.
Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.
Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.
*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.
*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo
*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa
*BEST GROUP OF THE YEAR*
Tuwapigie Navy Kenzo
*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo
*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu
*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now
Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.
Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.
*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
Hahahahah*Just as the game was going well on 1-1*
*Mourinho decided to introduce the tallest man to use his head* *and settle the tie*
*Klop got angry and brought in the shortest man in premier league and the rest was history*
Kitu ambacho wanashindwa kunfukuza mourunho ni vile ambavyo alikuwa wazi ni kipi anataka ili kuboresha timu alihitaji watu wa nne mbele alisema hana shidaKwa vipigo mlivyokutana navyo, kwa position mliyonayo na mpaka sasa bado yupo, sioni kama jamaa ni wa kufukuzwa mapema, mnaye mpaka msimu utakapoisha.
Na kama itakuwa mutual agreement baada ya kushindwa kuingia top 4.
Nasubiri kuona anapewa shs ngapi za transfer na atamchukua nani.
Kwa sehemu upo sahihi ila huwezi kupata kocha ambaye ana timu, hususani hao uliowatajakwli kaka ila ukizubgumzia man u ni klavu jubwa na tajir upo uwezekano wa kulipwa mou na kushawish kocha kama pochettino luis henrq na ancellot hoa wote kwa timu walizo kuwepo hawazez kataa ofa kutika man u bro sababu bora ivyo kuluko hasara itakapo kuja kuwa kasndwa kuingia top 4 na kashndwa kuipeleka timu urop ina mana timu ita pungukiwa mapato kwa kias kikubwa ss bora kuikabili na kuzuia ilo kwa ss ila mtu kama edwood co sahih kwa man u....man u wali itaji mtu kama Levy wa Spurs...
Yeah, Wazungu wapo loyal sanaSahizi hao makocha wote watakataa Mkuu,they are very professional! Kwa hiyo watakachofanya wataomba hilo lifanyike mwisho Wa msimu ili waambie mapema waajiri wao Wa sasa waanze kutafuta mbadala
Nadhani pia Spurs hawana ambition ya kuchukua makombe.Nadhani Spurs hawajasajili mtu msimu huu lakini wanafanya vizuri
Team yoyote duniani kufanya kwake vibaya responsible person kulaumiwa ni MWALIMU. Ni bongo pekee timu inafanya vibaya wanalaumiwa wachezaji. Naona hii imewaathiri baadhi ya watanzania ambao ni utd fans kuona Mou hana kosa.
Kama kawaida yangu Mou hana la ziada kwa united na career yake.
Tottenham haijasajili this season sababu kubwa Ni Project yake ya uwanja.Nadhani pia Spurs hawana ambition ya kuchukua makombe.
Kama una ambition ya kuchukua makombe, lazima usajili.... Tena sio kusajili tu, bali usajili wachezaji bora