Salah au mane akabane na dalot what a joke?? Valencia yupo bench
Wakat msimu uliopita hizo ndo goli aliruhusu mashindano yote
Perreira,mata fred hiyo ni combination nzur kabisa ya kiungoHahaha,kwetu wachezaji wanaoweza kukokota mpira hawana nafasi kabisa. Angalia Pereira, mata,Fred wote hao kwasababu sio wazuri kwenye mbinu za kocha za kukaba wanaonekana sio kitu.
Hii timu ukimleta mtu kama Pochettino tunabeba ubingwa asubuhi na mapema.
MUFC ina wachezaji wazuri ila mbinu za kocha ni za kizamani mno.
Tazama kulikuwa na haja gani ya kuanza na mabeki watano?katikati viungo wote hamna wa kutengeneza,Matic akizongwa tu anaachia mpira kama mgonjwa kazi yote inamuelemea Herrera.
Mimi ni shabiki wa liver na kwa kucheza kwangu mpira mtaani nilikuwa golikipa, ki ukweli namuuhurumia sana de gea yaani ni kipa mzuri anaeharibiwa na wachezaji we ndani yaani Allison anaonekana bora kuliko de gea! Hii sio hakiHivi uliona mane alivyotuliza mpira gambani kama drogba? Hii timu inamuumiza sana De Gea.
Huyu baba wa kulia huku arudi tu jamaniSir alex na david gill.View attachment 970362
Yule ndo bingwa wa kuvizia mipira iliyokufa,,na anaipatia kweli kweliTeam work mkuu sasa lingard unategemea ataunganisha timu?