OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Wewe Nina uhakika msimu huu hugusi kombe lolote. Achilia mbali top fourUnaongea pumba sana sana
Wewe hiyo heshima ya man u umeifikia?
Maana nijuavyo mimi hata top 5 ya mabingwa wa kihistoria wa EPL wewe haupo ,man u ana 20 makombe ya ligi
Arsenal ana 13 makombe ya ligi
Sasa wewe unazungumzia nini?
Unaombea et wachezaj wazur wa arsenal waondoke, aliyekwambia nani
Nitajie mchezaj unayeona ananyemelewa kwasasa , hata kama unawaita average,
Utagundua hakuna , na hata tetes hakuna,
Kabla ya kupayuka ,ungerud uangalie Nje ya uwanja arsenal ina project gani, ina watu gani ,wamejipanga vipi, kulinda wachezaji wao ,
Wewe kwasasa unatarajiwa kumpoteza hazard, huku willian na pedro wakielekea ukingoni
CHELSEA anarejea alipokuwepo fulham, ndio level ya chelsea tunayoijua
Emery kapewa bajet ya £70m kwanza , yupo sawa point na wewe ,
Uliyetumia hiyo 70 pekee kwa kipa
Emery anahitaj madirisha matatu tu ya usajir arudishe ile arsenal ya miaka ya 2000-2007
Usije kukaa ukategemea arsenal itapoteza wachezaji ovyo, tena
Kwasasa imeajiri maskauti na watu wa mikataba kutoka BARCELONA NA BVB
Ambao wao hawaangalii kununua michezaji kama morata au lukaku, wanaangalia vipaji tu,
WEWE CHELSEA unatakiwa upambane kushindana kupata heshima kama ya astonvilla kwanza, View attachment 961335
Ndio mkuu lakini sio kwa timu kama Arsenal..Kubeba ligi naona cha muhimu ni consistency tu,kwa sababu unaweza kuwa na wachezaji wakubwa duniani ila bado intensity ikawa inapotea kwenye baadhi ya game
Cha msingi ni kutengeneza timu yenye spirit,style of play,na kujaribu kumaintain intensity kila mechi..Nadhani unaikumbuka Leicester iliyochukua ligi 2015
Hizi mbwe mbwe kesho zinakwisha.Here is an odd coincidence:
Mourinho left Real Madrid a month after the 4-1 defeat by Klopp’s Borussia Dortmund in April 2013.
Two years later Mourinho was sacked at Chelsea a month after the traumatic 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Stamford Bridge during which the travelling fans sang “you’re getting sacked in the morning” and the wheel turned decisively against him.
Mou anaongoza sack race. I hope LFC kesho tuta inflict more damage. [emoji23]
Nawakumbusha tu Chini ya Mzaramo Mourinho timu hauatakuja kuambulia kitu.
Nasubiri Breaking News ya kutimuliwa huyu mgalatia wa mguu mmoja.
GGMU
Kesho mzee tunafungwa labda utokee muujizaNothing like luck in football. It is a matter of a game approach and how you capitalize in your opponent's defaults/mistakes. timu ya kutisha United ni City tuu, wengine ni juhudi tuu wala siyo quality ya players and tactics
Wataumiza roho zao tu kesho sioni tukifurukuta labda......Kwa mara ya kwanza mashabiki wa Arsenal na Chelsea watakuwa upande wa Man U
Spurs katupiga nyumban city katupiga kweke arsenal kibonde wa wakubwa tume draw nae chelsea walijiamini sana tumesuluhu liverpool tutaweza?Man kesho muwafunge Liverpool....siyo Kila mechi nyie Ni kufungwa tu...eti ukishinda Ni draw. Nasema ivi kesho msipowafunga Liverpool msitegemee ushindi wa aina yoyote kutoka kwenye timu yoyote.
Ahsante. Nawatakia kazi njema ya kuwachinja majogoo
Katika maisha ya kufuatilia mpira na kutazama hamna mechi ambayo siipendi na huwa na woga kama ya liverpool na manchester unitedPale Anfield ni pazito sana ila kibishi Man united wataruka nao Tu Liverpool
Pale Anfield paleWataumiza roho zao tu kesho sioni tukifurukuta labda......
Karata yangu naitupa kwa liverpool kama tulishindwa kuifunga arsenal mti wetu liverpool tutaweza?
hawa jamaa wanakuwaga na kismati tu ila bado sana so karata zote zipo united keshoPale Anfield pale
Ila tutasema nao tu
Mzee baba wewe arsenal na manchester united tukae chonjo wolves anakuja kwa spidi hukoplease ndugu zetu tunaomba mutushikie huyo mwizi liverpool ili sisi tuje kujipigia kimyakimya tar 29 ili tar 3 city nae akimshikisha adabu sisi tumpeleke rasmi katika nafasi zake alizozizoea.........kesho mimi dua zangu zote zipo kwenu
mtoto mdogo huyo hawezi hizi mbio yeye anakazia giants but watoto wenzake watamkalisha atakaa panapomstahili mimi huwaga sina shida na hawa machalii wa ligi........si unamuona soton anarusha rusha miguu kule lakini kashaelekea kibraMzee baba wewe arsenal na manchester united tukae chonjo wolves anakuja kwa spidi huko
Hongera mkuu kwa kutimiza miaka kadhaa.hahahahahaaaaa mkuu umeendelea kuwa na msimamo ule ule wa konki konki dhidi ya jose mourinho.
Breaking news ya kutimuliwa jose mourinho huenda itakulazimu uisubirie mpaka mwezi wa sita.
pale unaposhabikia klabu inayoendeshwa na watu wenye mawazo yanayofanana na mnunuaji wa maembe shambani kwa kutegemea kukodi magari ya FFU.
- tunahitaji points 10 kumfikia tottenham hotspurs
- tunahitaji points 8 kuwafikia chelsea na arsenal
- inamaana hao wababe wa jiji London kila mmoja anahitajika kupoteza angalau mechi 4 ndipo tuzungumze nao lugha moja na wakati huo huo kiupande wetu uwe ni mwendo wa kusukuma bakora kwa wapinzani wetu kama anavyofanya dereva wa lori.
kama kuna ambaye niliwahi kumkera humu ndani namuomba anisamehe ili nianze mwaka mpya kwa amani ndani ya nafsi yangu, kiupande wangu unapokwisha mjadala na chuki zangu zinamalizikia hapo ila wengine huenda wana tabia za yule mwenye jina jengine la mazishi.
kheri ya kutimiza miaka 3 ndani ya familia hii tukufu ya JF kwa Damushin,
marafiki wameniahidi zawadi ya jogoo mwekundu ifikapo kesho lakini mchinjaji mwenyewe waliyemuajiri vidole vyake vya mikono ni butu.
"I want to play West Ham a difficult match, then go to Swansea for another difficult match. I want the Champions League to start. I want, I want, I'm on fire.
Smalling sio mchezaji ni kibakaEd woordward kashafanya yake..bado kumuongeza mkataba Jones,Young,Fellaine,Valencia,..
Good Job Ed..
Na Jose' pia muongeze mkataba hadi 2050..I don't give a fu*ck
View attachment 969244