Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,562
- 21,516
Wakati mwingine Lukaku huwa kama anachezacheza tu uwanjani.
Jones anapenda kujifunga sana asee tumbadili na lukaku sasa akae mbele
Kabisa ndugu mi mwenyewe ananishangazaMourinho mnafiki kinoma; wakati akiwa Chelsea alimuondoa kama furushi huyo Lukaku lakini amekuja OT kamnunua kwa bei kubwa+mshahara mkubwa na anajifanya kumuamini na kumthamini sana Lukaku huyu huyu
Gunia la misumali.Jones anapenda kujifunga sana asee tumbadili na lukaku sasa akae mbele
Kwa kesho ukiacha kufungwa mengine ni Bahati tu na Nuksi kwa Liverpool ila kimpira hamna kitu aisee ni weupe balaaHatuna uwezo wa kuwafunga Liverpool kwa sasa..mengine yatakayotokea ni bahati tu
Nothing like luck in football. It is a matter of a game approach and how you capitalize in your opponent's defaults/mistakes. timu ya kutisha United ni City tuu, wengine ni juhudi tuu wala siyo quality ya players and tacticsKwa kesho ukiacha kufungwa mengine ni Bahati tu na Nuksi kwa Liverpool ila kimpira hamna kitu aisee ni weupe balaa
Hatuna uwezo wa kuwafunga Liverpool kwa sasa..mengine yatakayotokea ni bahati tu
Nothing like luck in football. It is a matter of a game approach and how you capitalize in your opponent's defaults/mistakes. timu ya kutisha United ni City tuu, wengine ni juhudi tuu wala siyo quality ya players and tactics
Difficult/impossible to justify. Kati ya Liver na United atakayeshinda ni kwamba game plan yake imefanya kazi. Timu hizi mbili hazina tofauti kubwa kwa uwezo wa wachezaji kiasi cha kusema United akishinda ni bahati.Luck is Every where in this human life cycle not just football believe .
Difficult/impossible to justify. Kati ya Liver na United atakayeshinda ni kwamba game plan yake imefanya kazi. Timu hizi mbili hazina tofauti kubwa kwa uwezo wa wachezaji kiasi cha kusema United akishinda ni bahati.
United has drawn Arsenal and Chelsea, how comes useme kumfunga Liver is a matter of luck. Last term United alicharaza top six wote in atleast one game, was it a matter of luck??