interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Mkuu umeongea ukweli kabisa.Point namba nane Mimi ndiyo hoja yangu, japokuwa haina mashiko sana sababu kwenye maisha watu wengi tunapenda urahisi kwa mfano, hata mashekhe na mapadri wanajua huko peponi wanapokuamini kutakuwa na urahisi yaani raha
Yote kwa yote kwangu Mimi Jose ni bora hata kabla ya yeye kuja Man united .
Nilitaka kujua sababu nyie watu wa Liverpool mnasemaga tumewapigia mpira lakini wamebahatisha magoli Mimi kuumia kwangu kunatofautiana
Haha hahaaa...umenikumbusha jinsi Kocha wa Liverpool anajua kufundisha vizuri sana mpira katika vilabu mbali mbali lakini hajawahi kuwa na bahati ya kufika fainali na kutwaa kombe la UEFA, sawa na Potetinho anavyoifundisha Tottenham vizuri lakini hapati kabisa mafanikio ya kutwaa kombe la EPLBahati ipo kwenye maisha
ninapopita ndani ya thread ya arsenal huvutiwa sana na nguvu ya uchangiaji wako mule ndani kwa sababu nakuona kama miongoni mwa wadau wenye uwelewa mkubwa wa soka, nakumbuka niliwahi kusoma comment yako ukidai ya kwamba torreira atakuwa ni mchezaji muhimu sana kuliko hata fred na hatimaye utabiri unaelekea kutimia.Nyumbu kajiokotea wajinga et had fans wake jana wanashangilia jmn
Ok, but ukiona nimewaita hivo man u, ujue kuna mtu kawaita majina ya hovyo arsenalninapopita ndani ya thread ya arsenal huvutiwa sana na nguvu ya uchangiaji wako mule ndani kwa sababu nakuona kama miongoni mwa wadau wenye uwelewa mkubwa wa soka, nakumbuka niliwahi kusoma comment yako ukidai ya kwamba torreira atakuwa ni mchezaji muhimu sana kuliko hata fred na hatimaye utabiri unaelekea kutimia.
tukija upande wa pili binadamu si vibaya kutaniana lakini utani haupaswi kuvuka mipaka ya ubinadamu wenyewe.
kama ungeliandika timu mbovu ya man utd imeifunga timu mbovu ya fulham na mashabiki wake wanasherehekea kwa makelele mengi kama wameifunga man city au liverpool kingeharibika kitu gani?
kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia neno nyumbu huku ukifahamu fika nyumbu anavuka kipimo cha ubinadamu.
mambo madogo kama haya yanaweza kukuondolea sifa na heshima mbele ya wenzako.
ni maoni yangu lakini unaweza kuyafanyia kazi au ukayapuuzia.
Wewe ulibahatika kuifunga Chelsea ya Antonio Conte ..lakini kwa sasa sahau ilo suala..Simtegemei city,
Ww utadakwa tu, siomumeona hata wolves alichokufanya,
Mm mashukuru umempiga city, kuendelea kulinda unbeaten ya EPL ya Arsenal
Liver sina shaka naye atagongwa tu ,
Wewe subir utakuja emirates, kuna watoto hapa kat watakuvuta shat, ww sina hofu kabisa na ww,
Huyo nyumbu unayemuombea amfunge liver unapoteza muda,
Manyumbu hawana uwezo huo hasa pale Anfiled,
Mou anaenda kupaki bas, atakula za kutosha ,kama huamin tubeti
Mou alishazoea anapaki bas anavizia, safar hii liver wana beki ,
Atapigwa kipigo cha mbwa koko
Haha hahaaa...umenikumbusha jinsi Kocha wa Liverpool anajua kufundisha vizuri sana mpira katika vilabu mbali mbali lakini hajawahi kuwa na bahati ya kufika fainali na kutwaa kombe la UEFA, sawa na Potetinho anavyoifundisha Tottenham vizuri lakini hapati kabisa mafanikio ya kutwaa kombe la EPL
hahahahahahaaaa ni sawa lakini hapo umetuchanganya sote na haipendezi kujibu dhambi kwa dhambiOk, but ukiona nimewaita hivo man u, ujue kuna mtu kawaita majina ya hovyo arsenal
Mahaba yamemzidi Uyu dogo ..ana andika andika tu..ninapopita ndani ya thread ya arsenal huvutiwa sana na nguvu ya uchangiaji wako mule ndani kwa sababu nakuona kama miongoni mwa wadau wenye uwelewa mkubwa wa soka, nakumbuka niliwahi kusoma comment yako ukidai ya kwamba torreira atakuwa ni mchezaji muhimu sana kuliko hata fred na hatimaye utabiri unaelekea kutimia.
tukija upande wa pili binadamu si vibaya kutaniana lakini utani haupaswi kuvuka mipaka ya ubinadamu wenyewe.
kama ungeliandika timu mbovu ya man utd imeifunga timu mbovu ya fulham na mashabiki wake wanasherehekea kwa makelele mengi kama wameifunga man city au liverpool kingeharibika kitu gani?
kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia neno nyumbu huku ukifahamu fika nyumbu anavuka kipimo cha ubinadamu.
mambo madogo kama haya yanaweza kukuondolea sifa na heshima mbele ya wenzako.
ni maoni yangu lakini unaweza kuyafanyia kazi au ukayapuuzia.
Unaongea pumba sana , sijawahi kushuhudia pumba kama hiiWewe ulibahatika kuifunga Chelsea ya Antonio Conte ..lakini kwa sasa sahau ilo suala..
Halafu arsenal Bado ni timu ndogo sana ..City au Barca wakimtaka Torroera, Mateo Gundogaz au xhaka nyinyi hamna ubavu wa kuwazuia ..maana ndo arsenal ilipo kwa sasa ..
Man united kushinda uwezo wanao kabisa. Mou yupo vizuri sana kwenye big match..
Mbona unateseka,Chalii mbona unapata tabu sana ndiyo maana mnajinyongaga nyinyi.
Baada ya kujipiga ban ,umefufukaMahaba yamemzidi Uyu dogo ..ana andika andika tu..
mambo madogo kama haya yanaweza kukuondolea sifa na heshima mbele ya wenzako.
ni maoni yangu lakini unaweza kuyafanyia kazi au ukayapuuzia.
Siku hizi mpira biashara wachezaji wanatafuta pesa ..mambo ya kufia timu moja mshahara kiduchu, kodi kibao, timu yenyewe haina future ipo ipo tu unategemea nini apo? Mshukuru Unai kidogo anarudisha heshima ya arsenal lakini kiukweli mpaka mufikie heshima ya timu kama Man united mutachukua muda sanà.Unaongea pumba sana , sijawahi kushuhudia pumba kama hii
Aliyekwambia barca wakimtaka mchezaj arsenal anaondoka tu kwasasa nan?
Unadhan chelsea inayochukuliwa wachezaj na madrid,
Na kama hujui hazard kashamalizana na madrid
Unasema arsenal ni timu ndogo, As if chelsea anacha kumzid arsenal ,
Arsenal huwez kuchukua mchezaj tuulize tukuambie ,
Arsenal ipo kwenye project, ndio maaana imefumua mfumo mzima, wa timu,
Ina wasaka vipaji, hivo huwez kuchukua mchezaj kirahis ,
Chelsea ni kibonde wa arsenal , nakushangaa unaongea utadhan unatokaga kwa arsenal,
Ushukuru ulikutana na arsenal bado inatafuta mfumo,
Mm wewe nakuhesabia sawa na kina fulham, chelsea hii ni ya 2004 , it means ww mpira umeanza kuujua mwaka 2010 ,
Chelsea itabaki tu hata hazard akiondokaBaada ya kujipiga ban ,umefufuka
Chelsea itarud kwenye hadh yake ya kina fulham,
Usichojua ni kuwa hazard to madrid,
Unamuombea njaa liver , kwa man u,
Umesahau man u kumfunga liver ni ndoto za mchana,
Pale anfiled man u hata sare itakuwa ni ngumu, na itakuwa sherehe kama walivyopata sare kwa arsenal ,walivyosheherekea
Unaongea pumba sana sanaSiku hizi mpira biashara wachezaji wanatafuta pesa ..mambo ya kufia timu moja mshahara kiduchu, kodi kibao, timu yenyewe haina future ipo ipo tu unategemea nini apo? Mshukuru Unai kidogo anarudisha heshima ya arsenal lakini kiukweli mpaka mufikie heshima ya timu kama Man united mutachukua muda sanà.
bado mna average players kubeba EPL nyinyi msahau kwa sasa ...
Inaonesha unawa ogopa sana hao watu, hasa wakiletewa mafund wengine,Chelsea itabaki tu hata hazard akiondoka
Lakini nyinyi akiondoka Torroera au xhaka Arsenal inajifia ..
Halafu huu msimu unatakiwa ujue kwamba nakupiga home & away.
Home tume clear, away is coming...
Ha ha ha tungekuwa chini ya FulhamLIVERPOOL FC
kocha: jose mourinho
- mignolet
- alexander arnold
- robertson
- joel matip
- dejan lovren
- james milner
- henderson
- divorg origi
- daniel sturridge
- adam lallana
- albert moreno
- dominic solanke
- markovic
- chamberlain
- xherdan shaqiri
Arsenal fc
kocha: jose mourinho
mwenye namba za yule mchungaji aliyemtoa amber rutty atuwekee tafadhali tunahitaji kuanzisha kampeni ya kumtoa gerezani sheikh jose mourinho, naamini yule mchungaji atatusaidia kwa sababu anaonekana ni mwerevu sana na hana ubaguzi wa aina yoyote.
- peter cech
- lichsteiner
- nacho monreal
- mohammed elneny
- koscielny
- sokratis
- holding
- mustafi
- welbeck
- kolasinac
- iwobi
- jenkinson
pia aliye karibu na jose mourinho amnunulie kioo apate kujitazama, pia amwambie sio nywele nyeupe pekee tu zilizopo kichwani mwake bali hata sura yake ya mvuto iliomvutia ed woodward imeshaanza kuzeeka na hata kama itatokezea atafanya upasuaji kama wanawake wa kiafrika na kupenda kwao maumbile makubwa mvuto wake wa mwanzoni utachelewa kurudi.
niliwahi kuuliza humu ndani kwa nini tulimsajili fred?
inaonekana ed woodward na jose mourinho hawana muda wa kuchat pamoja hata kwa kutumiana ujumbe wa tafadhali nipigie kwenye simu zao.
wapenzi wa fred naomba muwe wavumilivu kwa sababu serikali yetu tukufu ndio inatafuta pesa za kumnunua ndugu yake terry,au vidic,au ferdinand na au ndugu yake carvalho ricardo ili waje wamuezeshe fred apate nafasi ya kucheza.
- inaonekana jose mourinho amefikia nyakati hajui hata hitaji lake ni lipi na kama mourinho anafahamu mahitaji yake ya muhimu kwa nini alikimbilia usajili wa kiungo na si usajili wa mlinzi wa kati kama anavyolia kila siku na kwa nini alikimbilia usajili wa sanchez wakati ambao rashford na martial walikuwa wanacheza vizuri mwanzoni mwa msimu?
- je ed woodward alimuingiza choo cha kike jose mourinho kwa kumuahidi kuwa atamtimizia mahitaji yote au ni yeye mwenyewe mourinho alijiingiza choo cha kike kwa kuwa pengine alishapewa taarifa ya kwamba bajeti ya usajili haitazidi paundi millioni 80 ?
- tafadhali ed woodward na wewe huko uliko kama huna mpango wa kumuondoa mzee huyu madarakani basi mtimizie mahitaji yake ili kelele zake zimalizike na akose cha kujitetea pindi anapofanya vibaya.
sipati picha kama mourinho angelikuwa na wachezaji kama niliowataja hapo juu kupitia timu mbili zilizopo juu yetu muda huu.