Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal unatakiwa ukubali kwamba nyinyi ni timu ndogo dhid ya Man united..

Man u ikiwa na kiwango bora kabisa unaweza pigwa ata tano..
Umefufuka baada ya kumuotea city?

Manyumbu next week anasokomezwa huko mkian,

Ww jipendekeze kwa manyumbu , unataka wampige liver wakat unajua hawana huo ubavu,

Chelsik ndio timu ndogo, ni timu ya 2004
 
Subiri utaona ujinga wa José kwenye kupanga timu,Fellain atacheza mwanzo mwisho pale na lukaku mzee wa kuokoa mipira.
Kile kikosi mlichopanga dhidi ya Chelsea naona kitafaa kabisa kukata moto wa Liverpool...
N.B kama Lukaku asipocheza mtashinda.
 
Next game man inacheza liverpool na ikiwa watashinda ama kupata sare basi ujue lazima muingie top 4 otherwise msahau.
 
Umefufuka baada ya kumuotea city?

Manyumbu next week anasokomezwa huko mkian,

Ww jipendekeze kwa manyumbu , unataka wampige liver wakat unajua hawana huo ubavu,

Chelsik ndio timu ndogo, ni timu ya 2004
Man city ilikuwa ni uhakika lazima afe...

Chelsea huwa tunafanya vitu visivyo tarajiwa..

Sasa wewe Arsenal una mpango gani msimu huu, maana ulitegemea City akubebe...
 

Point namba nane Mimi ndiyo hoja yangu, japokuwa haina mashiko sana sababu kwenye maisha watu wengi tunapenda urahisi kwa mfano, hata mashekhe na mapadri wanajua huko peponi wanapokuamini kutakuwa na urahisi yaani raha
Yote kwa yote kwangu Mimi Jose ni bora hata kabla ya yeye kuja Man united .
 
I told them so
Yani kuna Watu, vijitu, mawatu, mijitu na viatu duniani.

Jamaa kwa chuki zake alizonazo kwa Mourinho ni 1 kwa 1 yuko katika kundi la mawatu, maana analazimisha nyeupe kuwa nyeusi.

Haha hahaaa...inachekesha kweli kuona kitu zima linvyohangaika kuupindisha ukweli kuonekana ni uwongo.
 
Man city ilikuwa ni uhakika lazima afe...

Chelsea huwa tunafanya vitu visivyo tarajiwa..

Sasa wewe Arsenal una mpango gani msimu huu, maana ulitegemea City akubebe...
Simtegemei city,

Ww utadakwa tu, siomumeona hata wolves alichokufanya,

Mm mashukuru umempiga city, kuendelea kulinda unbeaten ya EPL ya Arsenal

Liver sina shaka naye atagongwa tu ,

Wewe subir utakuja emirates, kuna watoto hapa kat watakuvuta shat, ww sina hofu kabisa na ww,

Huyo nyumbu unayemuombea amfunge liver unapoteza muda,

Manyumbu hawana uwezo huo hasa pale Anfiled,

Mou anaenda kupaki bas, atakula za kutosha ,kama huamin tubeti

Mou alishazoea anapaki bas anavizia, safar hii liver wana beki ,

Atapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Huyo dogo huwa sisi tunampuuza hamna anaejishughulisha nae hapa
Huna akili na hujui mpira nilishakwambia

Leo unasifia kesho unaponda ,hueleweki unasimamia nn

Umempiga fulham bas tayar ushaona una timu ya kumpiga liver

Ww mwaka huu nafas yako ni ya 10
 
Wakuu nawakaribisheni ANFIELD weekend

Game itanoga sanaa hii
Kila timu inahofu



Hakika nyinyi ndio mnaideserve katka EPL kutusumbua maana ni giant club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…