Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Wachambuzi hawawezi kukuelewa hapo ume wasahau Liverpool usajili Mkubwa hata kikombe cha kuku hamnaJose Mourinho vs Pep Guardiola tangu August 2016:
:
Usajili wa wachezaji:
Mourinho - 11
Guardiola - 22
:
Makombe waliyoshinda:
Mourinho - 3
Guardiola - 3
:
Fedha walizotumia:
Mourinho - £302m
Guardiola - £599m
Hahahaha noma kuna muda huwa naona kama mourinho angeiweza united kama tusingekuwa commercial clubWachambuzi hawawezi kukuelewa hapo ume wasahau Liverpool usajili Mkubwa hata kikombe cha kuku hamna
Mkuu nami nlishtuka sana kuona jina la lukakuLukaku nae yumokumbe tuna mtu pale
Kuna vitu vingine ni kuviangalia kwa macho na kucheka tuMkuu nami nlishtuka sana kuona jina la lukaku
lukaku wa Belgium anacheza na wachezaji wa viwango vidogo kuliko martial mfano hazard ndio maana anafunga sanaSisi shida na kiungo wa kuunganisha timu kazi ambayo pogba kashindwa mbona belgium linatupia?
Sijaelewa kitu hebu rudia kuandika vizur mkuu.lukaku wa Belgium anacheza na wachezaji wa viwango vidogo kuliko martial mfano hazard ndio maana anafunga sana
Utani tu siko serious sana nachotegemea watu kama martial kwa kuwa wana viwango vizito wamsaidie Lukaku afunge kama anavyofanya BelgiumSijaelewa kitu hebu rudia kuandika vizur mkuu.
Hapa sasa umeandika vizur nimekupataUtani tu siko serious sana nachotegemea watu kama martial kwa kuwa wana viwango vizito wamsaidie Lukaku afunge kama anavyofanya Belgium
Duh hadi LukakuHarry Kane has been ranked as the world's best striker in this year's @espnfc 100.View attachment 958633
Top scorer wa belgium huyoDuh hadi Lukaku
Dah,,anyways kutakuwa kuna vigezo vyao walivyotumia kumuweka hapo kwenye hyo list,,ila jamaa mbovu kupita maelezoTop scorer wa belgium huyo
Usimlinganishe Gardiola na huyo mzee..wala usitake kulinganisha makombe aliyobeba morinho na aliyobeba gadiola..!! Mornho hajabeba EPL..na haonekani km atafikia top4 msimu huu..Jose Mourinho vs Pep Guardiola tangu August 2016:
:
Usajili wa wachezaji:
Mourinho - 11
Guardiola - 22
:
Makombe waliyoshinda:
Mourinho - 3
Guardiola - 3
:
Fedha walizotumia:
Mourinho - £302m
Guardiola - £599m
Du kazi kweli kweliUsimlinganishe Gardiola na huyo mzee..wala usitake kulinganisha makombe aliyobeba morinho na aliyobeba gadiola..!! Mornho hajabeba EPL..na haonekani km atafikia top4 msimu huu..
Usiangalie ubovu wa united ukafikir cv ya jose ni mbovu kuwa mtu wa mpiraKumfananisha morinho na gadiola ni kufanya matusi ya soka
Hii post yako imenichekesha sana tena sana et mourinho hajabeba eplUsimlinganishe Gardiola na huyo mzee..wala usitake kulinganisha makombe aliyobeba morinho na aliyobeba gadiola..!! Mornho hajabeba EPL..na haonekani km atafikia top4 msimu huu..
hee baba la baba umetoka usingizini futa nacho uangalie uchokiandika ruksa kurekebishaUsimlinganishe Gardiola na huyo mzee..wala usitake kulinganisha makombe aliyobeba morinho na aliyobeba gadiola..!! Mornho hajabeba EPL..na haonekani km atafikia top4 msimu huu..
City doubled United spendingJose Mourinho vs Pep Guardiola tangu August 2016:
:
Usajili wa wachezaji:
Mourinho - 11
Guardiola - 22
:
Makombe waliyoshinda:
Mourinho - 3
Guardiola - 3
:
Fedha walizotumia:
Mourinho - £302m
Guardiola - £599m
Fact mkuuCity doubled United spending
City doubled United number of new signings (Pep bought almost a squad, not first 11, A SQUAD)
No wonder City play better than United