Labda itokee tubahatishe kama kawaida yetu..lakini ukiangalia team news na hali ya UNITED kwa sasa ni mbaya..SPURS walitufunga OT kama tumesimama vile..Mourinho mechi kama hizo ndio huwa zinampa heshima.
Sitashangaa tukimchapa Arsenane kipigo cha mbwa koko
Nasema sio 3-1 au 4-1 inaweza kuwa zaidi (unapoandika hivyo ujue United ndio yupo nyumbani shauri yako)Naona una ndoto za mchana..
Na majeruhi uliyonayo bado unawaza ushindi Mbele ya Arsenal? 3-1 or 4-1 nakufunga.
Tungeanza na pogba kwanza msimu wa tatu huu hajui nini anatakiwa kufanya uwanjani kaletewa kila mtu lakin wapi anazidiwa na herrera banaHivi hamna tetesi zozote za Mourinho kufukuzwa jamani ?
Mkuu si mmupige bench tuu, then January mnapiga bei, mou mwenyewe anamtegemea pogba.Tungeanza na pogba kwanza msimu wa tatu huu hajui nini anatakiwa kufanya uwanjani kaletewa kila mtu lakin wapi anazidiwa na herrera bana
Kocha muoga sana anaamini magiant yanapiga mpira kumbe vimtu kama david silva au mata ndo vina mambo ya maana hata scott yupo vizurMkuu si mmupige bench tuu, then January mnapiga bei, mou mwenyewe anamtegemea pogba.
Mm sasa hivi nmeamua kuwa naangalia mechi za U-23.
Kuna dogo anaitwa Chong yupo vzr
Chong
Gomez
Indy Bohen
n.k
Dah pole bhana, tujipe tu poleYani mm cku hizi bora niangalie hizo za watoto kuliko timu ya wakubwa
Kaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezajiTungeanza na pogba kwanza msimu wa tatu huu hajui nini anatakiwa kufanya uwanjani kaletewa kila mtu lakin wapi anazidiwa na herrera bana
Matic na fred tulifikir herrera hatosh lakin story iko vilevileKaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezaji
Mkuu Pogba naye ana mapungufu yake, mfano anakaa sana na mpira sometime bila sababu ya msingi. Lakini pia anapoteza mipira mingi.Kaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezaji
Kweli mkuu shukrani kwa kunielewesha maana nilimkandia Mou moja kwa mojaMkuu Pogba naye ana mapungufu yake, mfano anakaa sana na mpira sometime bila sababu ya msingi. Lakini pia anapoteza mipira mingi.
Lakini Mourinho angeweza kumtumia Herrera na Fredy ili wafidie mapungufu ya Pogba. Tatizo la Jose anaumwa ugonjwa wa kuwapenda sana wachezaji wakubwa (miili jumba/warefu)
Kuna makala moja nilisoma, ilisema Man United inaweza kucheza kama City ikitaka, maana ina wachezaji wa namna hiyo kwenye midfield. De Bruyne (Pogba), Silva (Mata), Fenandinho (Herrera/Fredy)
Kweli mkuu shukrani Kw kuniweka sawa katika hili ingawa pia Mou anazingua kuweka slow defensive midfielders nyuma ya Pog watu ambao hawana creativity nzuriMatic na fred tulifikir herrera hatosh lakin story iko vilevile
Mkuu kwenye mbinu kocha kweli anazingua lakin pogba hata umchezeshe sehemu yake sahihi bado ataleta mpira wa madoido wanapora na kukaba hawezi sijui anatatizo gani akiwa kwetu.Kweli mkuu shukrani Kw kuniweka sawa katika hili ingawa pia Mou anazingua kuweka slow defensive midfielders nyuma ya Pog watu ambao hawana creativity nzuri
Man united hii hatuna mchezaji kama Pogba..timu inacheza ovyo yote..how comes mchezaji mmoja angare??Kaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezaji
Kweli mkuu jamaa anahaki ya kujitetea kuwa tactics za kocha zinambana zaidi maana Mou tactics zake zinawabana wachezaji hawawi huruMan united hii hatuna mchezaji kama Pogba..timu inacheza ovyo yote..how comes mchezaji mmoja angare??