Hivi unajua madrid yupo chini ya espanyol kwenye msimamo wa ligi?Umehamia Madrid? Hawapo daraja moja. Yupo daraja la chini kabisa na Anatesa epl. Na ndie anawkuchapa wewe wa daraja la juu. Mpo juu sana.
Point yangu tusizungumzie mechi za history. Bali tuliyokutana karibuni. Wewe unasema umenifunga na mm nakumbuka kukupiga 6. Huoni mpaka unakuja na ya leicester.Hata leicester city alitufunga 5-2 point yako ni ipi?
Sita ni historia kwani ni leo?Point yangu tusizungumzie mechi za history. Bali tuliyokutana karibuni. Wewe unasema umenifunga na mm nakumbuka kukupiga 6. Huoni mpaka unakuja na ya leicester.
Madrid anatika wapi tena huku? Tuongelee yale ambayo upo nayo wewe kwenye ligi yako. Jtano upo na Arsenal sio madridHivi unajua madrid yupo chini ya espanyol kwenye msimamo wa ligi?
Arsenal tenaMadrid anatika wapi tena huku? Tuongelee yale ambayo upo nayo wewe kwenye ligi yako. Jtano upo na Arsenal sio madrid
Kwanza unanipotezea muda kujibizana na mshabiki wa city tafuta saiz yako huko kwa wakina spursMadrid anatika wapi tena huku? Tuongelee yale ambayo upo nayo wewe kwenye ligi yako. Jtano upo na Arsenal sio madrid
Ni historia ndio. Na ni wewe ulieanza kusema ulishawahi kuifunga man city. Which is old news. Tuingelee mostly recently news. Mfano chelsea alivyopigwa na spur.Sita ni historia kwani ni leo?
Kumbe wewe sio size yangu. Naona zaiz zangu ni hao walio juu yako kina spurs. Liver chelsea arsenal. Wewe umeporomoka mbali sana. Halafu huu uzi wenu mnabushana sana eti mou ndo anawaangusha. Sio mou ninnyie wenyewe hamtaki kubishana na timu zilizo juu yenu. Ukiacha kubishana na mm utakosa mbinu na utaishia hapo hapo chiniKwanza unanipptezea muda kujibizana na mshabiko wa city tafuta saiz yako huko wakina spurs
Kwahiyo hizi ndo giant clubs.Juventus
Liverpool
Buyern munich
Real madrid
Barcelona
Manchester united
giant club in europe
Kwa sasa chelsea anaingia hapo
Anaendelea vzr mkuu, vip Mourinho naye anaendeleaje nafasi ya nane huko 😂Kama ulishindwa kubaini yule mwanamke ana mimba ya mwanaume mwingine utaweza kubaini matatizo ya Manchester united??
Imekuaje mimba hii iwe yangu? - JamiiForums
Vipi Mtoto anaendeleaje ?
Mkuu radika wale ni wakubwa wenzetu tuko kule juu tunapunga upepo... Vip ninyi huko mliko mnaendeleajeUlivyokazwa na spurs ukalala mbele saiv fahamu zimekurudia
Hadi mwez wa nne mtakuwa sehem yetu sina imani na sari toka namba moja had 3??Mkuu radika wale ni wakubwa wenzetu tuko kule juu tunapunga upepo... Vip ninyi huko mliko mnaendeleaje
Mkuu mimi niko vizuri kuliko wewe, naamini hata wewe unalijua hilo, leo tunarud kwenye reli... Fulham anakufaHadi mwez wa nne mtakuwa sehem yetu sina imani na sari toka namba moja had 3??
Hahahaha kila la heri mkuu naona mwaka wa 3 wa mourinho unatuhukumu vibaya sana upande wetuMkuu mimi niko vizuri kuliko wewe, naamini hata wewe unalijua hilo, leo tunarud kwenye reli... Fulham anakufa
Huu ni utani au ni ukweliKama ulishindwa kubaini yule mwanamke ana mimba ya mwanaume mwingine utaweza kubaini matatizo ya Manchester united??
Imekuaje mimba hii iwe yangu? - JamiiForums
Vipi Mtoto anaendeleaje ?
Mkuu uwe unatupa matokeo wengine tupo mbali na tvn
yinyi manure mnajipumzisha kwa SOTON
Mkuu usituache kutupa matokeo ni muhimu vipi huko?Manchester United have a negative goal differential after 14 Premier League games
HIV kumbe mkuu bongo kuna washabik wa man cityJuventus
Liverpool
Buyern munich
Real madrid
Barcelona
Manchester united
giant club in europe
Kwa sasa chelsea anaingia hapo
Hahaha hatar sana mkuu hawa huwa ndo wale timu ikifanya vibaya wanatafuta timu inayofanya vizurHIV kumbe mkuu bongo kuna washabik wa man city
Kwel mkuu angalia usije ukawa unabishana na mtoto wa form1 maana ndo timu zao hizo man city na psgHahaha hatar sana mkuu hawa huwa ndo wale timu ikifanya vibaya wanatafuta timu inayofanya vizur