Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Usipotee tu hiyo jtano yaani hiyo mechi ni kama sisi united baba nyie aseno mama hata ugomvi uwe vipi sebuleni lakini chumbani mnalainika vizuri tuMsimu huu Level Zako Leicester,Bournemouth Mkuu..
Arsenal inapambana Kutafuta top 4.Totehman anawafunga mbulula kama Man United na Chelsea...
Game na Nyie mnaodraw na Southampton wenye Goal difference ya Negative Itakua nyepesi sana kwetu..
Usipotee tu hiyo jtano yaani hiyo mechi ni kama sisi united baba nyie aseno mama hata ugomvi uwe vipi sebuleni lakini chumbani mnalainika vizuri tu
Alianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...Tabu iko pale pale,
Wale Wakikundi cha vibaka wanaoongozwa na kiongozi wao Jose Mourinho, naona wanajitahidi sana kuhamisha udhaifu wa Mou kwa wachezaji.
Nasema hivi msimamo wangu ni ule ule " TUTAPATA TABU SANA HADI PALE TEAM IKIJUA MCHAWI NI MOU"
Kama kawaida narudi tena msituni kuzidisha makombora ya kumtimua ibilisi huyu (Mou) ili team irudi zama zake. Endeleeni kuniombea wadau.
Ulivyokazwa na spurs ukalala mbele saiv fahamu zimekurudiaAlianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...
Mi nawambia tatizo la Man U ni Web
Hapa hata sijajua kocha alikuwa na mpango gani halafu mata anakaa bench hao wote wakabaji duMourihno atuach kidogo mech moja fellain, matic, mctom na herera kwel
Web ni kocha ,mchezaji ? Acha story za kusadikika. Halaf hakuchezesha mechi zote za man u.Alianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...
Mi nawambia tatizo la Man U ni Web
Baily hakuwepo hata bench na smallng piaHapa hata sijajua kocha alikuwa na mpango gani halafu mata anakaa bench hao wote wakabaji du
Mkuu kumbe wagonjwa mzima alikuwa jones tuBaily hakuwepo hata bench na smallng pia
Yaani ulikuwa uozo MTUPU
Kama ulishindwa kubaini yule mwanamke ana mimba ya mwanaume mwingine utaweza kubaini matatizo ya Manchester united??Alianza Moyes mkasema tatizo ni yeye, akaondoka.. Van girl naye kaondoka, sasa tatizo limekuwa ni Mou...
Mi nawambia tatizo la Man U ni Web
AiseeeMkuu kumbe wagonjwa mzima alikuwa jones tu
Rojo aliumia mazoezini jana kakaa bench hana mech fitnessAiseee
uzuri wake najua fika kuwa ukweli wa kitakachokutokea unaujua kwa asilimia 80 ila unavungaAkili za kuku hizi hivi unategemea bahat aliyopata sutton atakutana nayo arsenal? What a joke!!!!
Kumbe wewe manyumbuKumbe mkuu wewe ni Arsenane
acha kumfananisha scott na huo upumbavu unaoitwa fredinho....scott ni level za kina GUENDOUZRojo aliumia mazoezini jana kakaa bench hana mech fitness
Ila nnapomlaumu mourinho kwa scott over dalot hapo hata bodi itakuwa inajiuliza sana maana wametoa hela za bek unamchezesha scott fred imetolewa hela nyingi sana yupo bench kocha wa hovyo sana
Hapana sio kwa arsenal kuna timu hata iwe mbovu vipi kama ni mti wako hutok mfano man city kwa wigan barcelon anapoenda aneota studium kwa espanyol au atletico akikutana na levante labda kocha aamue kuachia tuuzuri wake najua fika kuwa ukweli wa kitakachokutokea unaujua kwa asilimia 80 ila unavunga