Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scholes ni kiungo mzuri, lakini high risk,especialy kwenye tackling, nafasi aliyopo ndo kazi kubwa pia, na Ferguson anamzimia sana, aljiuzulu Premiership peke yake?
 
Mi naona Nasri ndiye mzigo kwa man city! Anapoteza sana pasi. Angebaki Silva hali ingekuwa imeshabadilika
Man City wamefunga la pili, Aguiero...Hivyo man city 3 man u 3

Makosa ya Scholes...
 
Welbek nje kiungo Anderson in, naona fergusiona ameona aulinde hayo hilo goli moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…