Mbona mwaagana mapema hivi, inamaana hauji kijiweni leo?Pamoja mkuu, usiku mwema pia.
Mbona mwaagana mapema hivi, inamaana hauji kijiweni leo?
Sitii neno hapa, ...Baada ya dhiki faraja....GGMU
Ok okHongeren kwa ushindi fans wa man united
Mrembo bukheir weye?Baada ya dhiki faraja....GGMU
ShukranHongeren kwa ushindi fans wa man united
Timu inaonekana kabisa haina muunganiko kati ya viungo na mabek hapo bado kuna kiza kinene napata mashaka sana matic alikuwa anahitaj mtu kama kante nyuma yake anajisahau sana
Timu yetu inahitaji DM mwenye kasi,mwepesi anayeweza kutulia na mpira(kama Fellain) Matic ni mzuri lakini ana kauzito flani hivi.
Lindelof naona kama anazidi kuwa imara,sijui ni kwanini akili yangu inakataa kuwa tuna tatizo la CB. Tuna Rojo,Bailly,Smalling,Lindelof,Jones naamini hawa kocha akiwapa mazoezi atapata wawili wanaoelewana vyema hapo. Jones huwa anasemwa sana ila mimi huwa nampendea kitu kimoja tu,ni kiongozi,huwa anawafokea sana wenzake wanapofanya uzembe.
Pale mbele tunahitaji ST,Lukaku sio wa kutegemea.
Hii Man U ambayo hata inapoenda kucheza na Watford watu tunakuwa hatuna uhakika? Watu waache utaniProbably siyo muda sahihi, ila hii discussion imeibuka baada ya mdau mmoja kusema kwamba Man Utd inatakiwa kumwogopa Barca peke yake Ulaya.
Nadhani yeye yuko kwenye nafasi nzuri kunijibu.
Hii naunga mkono big games timu inacheza kweli ishu kwa vidagaauliangalia hizi games against United??
Tottenham
Chelsea
Juventus......tulipoteza though, ila commitment ilikuaje??
United ya msimu huu ikikutana na timu ndogo ndo inakuwa kama zezeta ila si kwa wakubwa wenzao kama huamini suburi game ya City na Juve
Mbona unaenda mbali sana.? FA yenyewe inawatoa KAMASI sembuse UEFAHilo halina mjadala..hii timu inahitaji marekebisho kidogo sana kuwa hata na uwezo wa kuchukua UEFA..
Hii naunga mkono big games timu inacheza kweli ishu kwa vidagaa
Point moja tu tumepoteza 3Kucheza ni kitu kingine na kupata matokeo ni kitu kingine.
Kwenye list aliyoitaja hapo juu mlipata points ngapi?
Chelsea banaMbona unaenda mbali sana.? FA yenyewe inawatoa KAMASI sembuse UEFA