Manchester United (Red Devils) | Special Thread

√Lukaku aendelee kusugua yeye sio mungu mtu pale OT..Rashford,Mata,Martial pale mbele kunakuwa na transition nzuri hasa tukiwa tunashambulia..Rashford inabidi aboreshe kidogo utulivu.

√Martial was excellent today..amehusika kwenye goli zote mbili..amekosa goli dakika za mwisho lakini nimeona amejutia,kitu ambacho inabidi wachezaji wetu wawe nacho..

√Lindelof gemu hizi mbili kama amepeak up hivi kiwango chake..kawa kitasa kweli kweli..naamini tu jamaa ni beki mzuri wa mpira huu wa kileo ila pale nyuma anakosekana kiongozi kama alivyokuwa Rio Ferdinand

√Pogba huwa hajisikii vizuri asipotoa blunder kidogo kwenye gemu??..But huyu ni engine ya timu,,don't get me wrong

√Fred..somehow leo ametulia..hopefully ataendelea kupata nafasi

√Matic kuna muda anacheza kama mlevi vile..sijui amepatwa na nini??..Maybe ni uchovu tu.
 
Pogba anakuofa vitu viwili kwa wakati mmoja furaha na karaha hapo hapo

game ilikuwa nzuri tofauti na matarajio yangu.....Mata anafanya mambo magumu kuwa mepesi.

three important points kibindoni

GGMU
 
Pogba anakuofa vitu viwili kwa wakati mmoja furaha na karaha hapo hapo

game ilikuwa nzuri tofauti na matarajio yangu.....Mata anafanya mambo magumu kuwa mepesi.

three important points kibindoni

GGMU
Inadaiwa Unai anamhitaji Mata. Nitahuzunika sana akiachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…