Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attacking line ilivyopangwa, ikijibu bhasi itabidi kuirndeleza. Ila tukubali midfield itamwelemea Matic
 
Soka kweli sometimes ni Coach, approach na falsafa. Ukicheki uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, nadhani Madrid ni zaidi ya Barca lakini wananyanyasika vibaya muno
 
Ni matumaini yangu kuwa Rashford, Martial na Mata hawatatuangusha leo
 
Yaani kuwepo kwa Mata kwenye kikosi kunanifanya nitamani kuwashabikia lakini wacha tu kishingo upande niwe Everton..go blues.
Ni matumaini yangu kuwa Rashford, Martial na Mata hawatatuangusha leo
 
Yaani kuwepo kwa Mata kwenye kikosi kunanifanya nitamani kuwashabikia lakini wacha tu kishingo upande niwe Everton..go blues.

Mkuu rudi nyumbani kumenoga

Mata akipangwa kwenye timu yetu, kuna vitu vingi tunakuwa tunafaidika navyo
 
itakuwa vyema Lukaku hata benchi asionekane, wamfungie ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…