Tatizo jingine ninaloliona kwa Mourinho ni kukosa flexibility..Matic huyu anahitaji kuwa benchi hachezi vizuri kabisa..anacheza too sloppy..,then herrera aingine mahala pake huku wakipea na pogba na fred..naamini tutapata kitu kutoka kwenye viungo hawa..Matic toka world cup kiwango hakikuwa kizuri
And katika press analalama kuhusu usajiliTatizo jingine ninaloliona kwa Mourinho ni kukosa flexibility..Matic huyu anahitaji kuwa benchi hachezi vizuri kabisa..anacheza too sloppy..,then herrera aingine mahala pake huku wakipea na pogba na fred..naamini tutapata kitu kutoka kwenye viungo hawa..
Haiingii akilini unatumia £50M kusajili mchezaji na nafasi hapewi
Kocha bovu bob iloo, kila siku analialiaUjue mourinho kuna mahali anachemka kuna uwelewano mzur sana kati ya fred na pogba hasa mmoja akicheza 8 na 10 mech ya young boys na wolves hawa watu walikuwa wakisogea juu zaid ilikuwa ni hatar sana
Yaa ukiacha matatizo ya bek ila kuna watu kashindwa kuwatumiaKocha bovu bob iloo, kila siku analialia
Wafungeni kwanza cardiff ndo mje mlete tambo zenuLeo mnaukalia tena wakuu kama wasemavyo wapemba
Mkuu siku hizi umeanza kuwaje tana?Leo mnaukalia tena wakuu kama wasemavyo wapemba
Hahahahahahahahahahahahahahahaha eti mnaukalia tenaMkuu siku hizi umeanza kuwaje tana?
Leo mnaukalia tena wakuu kama wasemavyo wapemba
Naona walipata tabu mwaka jana hadi walichagua kwenda kwenye futuhiHahahahahahahahahahahahahahahaha eti mnaukalia tena
Kuwa Na Huruma Tuombee Hata Mema Kidogo Tu..Nasi Jino la mwisho LionekaneLeo mnaukalia tena wakuu kama wasemavyo wapemba
Jamaa mlalamikaji sana...Analilia mara Rashford akicheza kama CF nakosa winger, muda huo huo Pereira anacheza kucheza kama winger
Sio Cardiff ni Burnley mkuu na morata ameshafanya yakeWafungeni kwanza cardiff ndo mje mlete tambo zenu
Hakuna shida mkuu ni furahisha genge tuMkuu siku hizi umeanza kuwaje tana?
Na EvertonHivi kwani sisi tunacheza leo?
[emoji3] [emoji3] basi mtapata hata draw leoKuwa Na Huruma Tuombee Hata Mema Kidogo Tu..Nasi Jino la mwisho Lionekane
Saa moja..ratiba ya leo ovyo kweli..mida hii pia el classicoGame saa ngapi huku kwetu??