Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial kesho lazima abebe mpira wake {Kwa kufunga Hat Trick}
 
Martial kesho lazima abebe mpira wake {Kwa kufunga Hat Trick}
Huyu dogo huwa anawika mechi 2, 3 then anapotea kwa miezi. Atakuwa kashatimiza mechi zake za kuwika (Newcastle na Chelsea) ataingia likizo muda si mrefu
 
Huyu dogo huwa anawika mechi 2, 3 then anapotea kwa miezi. Atakuwa kashatimiza mechi zake za kuwika (Newcastle na Chelsea) ataingia likizo muda si mrefu

Tony ukimpa dakika 90 acheze lazima mabeki walale na viatu

Kesho utaona kitachowapata mabeki wa Everton
 
Everton ni wakutunyima point tatu OT??..i dont think so

De gea

Dalot Lindelof Chriss Shaw

Fred Herrera Pogba

Mata Rashford Martial

I don't want to see lukaku on the pitch today...
 
Everton ni wakutunyima point tatu OT??..i dont think so

De gea

Dalot Lindelof Chriss Shaw

Fred Herrera Pogba

Mata Rashford Martial

I don't want to see lukaku on the pitch today...
Mkuu,kama umetazama mechi za Everton zilizopita kwa timu yetu hii sio ya kuamini sana. Everton wanafunguka,wanacheza vizuri mno.
 
Hivi hata mpira unaangaliaga kweli au ndiyo na wewe mchambuzi, Robertson anapiga mzigo sana sina wakumfananisha nae pale united
 
Matic na lukaku wanatakiwa wakae benchi kocha wetu anapanga wachezaji kwa mazoea. Nataka kuona sanchez akicheza nafas ya lukaku pale mbele
Matic ukiangalia vizuri anavyocheza ni kama amechoka sasa...
 
Ampe nafac fred sio kila msimu tunanunua wachezaji kwa pesa kibao halaf wanakaa benchi
Ujue mourinho kuna mahali anachemka kuna uwelewano mzur sana kati ya fred na pogba hasa mmoja akicheza 8 na 10 mech ya young boys na wolves hawa watu walikuwa wakisogea juu zaid ilikuwa ni hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…