Ajabu ni kwamba anayeongoza anafanya sub,aliyefungwa katulia. Hii inaashiria nini?kufilisika?kufika mwisho?
[emoji1] [emoji1]Lukaka kwanza ananenepa hovyo and he become lazy
Ukiacha sub tu amekalisha kiuno chini tangu game limeanza maka linaisha hawezi hata kuwatia moyo wachezajiDuh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu
Ukiacha sub tu amekalisha kiuno chini tangu game limeanza mpaka linaisha hawezi hata kusimama na kuwaelekeza wachezaji au hata kuwatia moyo wachezajiDuh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu
Pale haiwezi kufanywa sub kwasababu team iko chini kwa kufungwa na yey anatafta equaliser,asingeweza kupangua midfield jpokua mata mwshoni hakua akionekna ila alimuamini zaidi kuendelea nae na istoshe speed ya team ndo ilomfanya asibdilishe nje hakuna mchezaji wa kubdili matokeo.Ajabu ni kwamba anayeongoza anafanya sub,aliyefungwa katulia. Hii inaashiria nini?kufilisika?kufika mwisho?
Words well markedGGMU!! GGMU!! leo juve anakufa jamani..mark my words..!!
Wala siyo kidogo ni ndefu sana. Kikosi kile kina utoto mwingi sanaNilikua naona tu jins juve wanavyopiga pasi tu toka kwa mtu had kwa mtu nikilinganisha na timu yetu naona bado tuna safari kdg
Sawa ahasante sana kwa kuligunduwa hiloAkili za kindezi kuita wenzio masokwe
atakuwa na ajenda yake ya siriDuh game kubwa kama hii kocha anashindwa kufanya ata sub wapenzi wa bwana huyu niambieni sababu