Fact jana kocha wa france bila kumtupa matuid katikati aendeshe kiungo kipind cha pili na kante wangepigwa lakin kwetu akifanyiwa hivyo zinaanza lawama alitupwa pembeni kusaidina na pavardMkuu Pogba ni moja kati ya wachezaji weak zaidi mentally mimi kuwahi kuwaona, na kwa bahati mbaya sana akakutana na most less professional agent in raiola.
Sielewi huko barca anaenda ku shine vipi bila nidhamu ndani na nje ya uwanja. Yataishia kuwa yale yale tu, game moja ama mbili safi sana then game 3 mbovu...circle inajirudia hivyo hivyo mpaka umri unamtupa mkono.
Ukimuuliza yeye anaamini bado ni mdogo. Hajui kwenye soka huu umri alio nao tayari anatakiwa awe matured decisive player.
Anyways, muda utaongea. Wacha tusubiri tuone huyu bwana Labile atafanyaje akitua Barca
Huna heshima yeyote , wewe hebu tulia ufundishwe,Kwanza niheshima kukujibu hilo shukur vinginevyo najishushia heshima yangu tu yani fred umfananishe na zile takataka za arsenal??? What a joke numekupa mfano mdogo tu wa matic na bakayoko walikuwepo walevi kama wewe walikija na starts kama zako kwa sasa wapo kimya umewaona wenzio wakina dully wanahangaika kukanyaga hapa? Arsena wanajulikana sana wakicheza na ma fulham huwa wazur sana wanakiwango kizur mno so be carefully tutakupoteza kama roberto
Kacheza mechi ngapi? United kuna viungo wengi sio kama wewe lazima awepo toreira timu itembee mimi nje nina mata nina herrera hao wote wanacheza namba ya fred nina scott nina pogba hao wote wanacheza hapo nina maticHuna heshima yeyote , wewe hebu tulia ufundishwe,
Sikukuomba unijibu ni kiherehere chako,
Huyo fred kafanya nini toka amekuja?
Hivi hujui mou aliingilia dili la pep kumtaka huyo fred? Unajua pep alitaka amtumie vip?
Huyo fred ni garasa ,ndio maana hata timu ya taifa huwa anasugua bench,
Mlaumu kocha wenu kukuleteeni garasa fred kwa paun mil 52,
Ndio yale yale ya sanchez kukurupuka ,ili kumuharibia Pep,mwishowe kalamba garasa, sanchez alishakwisha toka yupo arsenal ndio aliongoza kupoteza sana mipira,
Eti arsenal wanaonekana kwa fulham, mbona wewe hivo vitimu vidogo unapaki basi? Tena vitakugonga sana,
Mkuu Pigba ni liability sana, ni mchezaji ambaye atahitaji wachezaji zaidi ya mmoja kum compliment, wamfanyie baadhi ya majukumu.Fact jana kocha wa france bila kumtupa matuid katikati aendeshe kiungo kipind cha pili na kante wangepigwa lakin kwetu akifanyiwa hivyo zinaanza lawama alitupwa pembeni kusaidina na pavard
Matuid atatupa shida sana champions league jana nimemuona daaa na wale viungo wa juve walivyo wagumu tuna kazi ya kufanya kwa kweli.
Wewe kweli nanga, Mo alimsajiri acheze ila kila akicheza bora Nyoni wa azam,Kacheza mechi ngapi? United kuna viungo wengi sio kama wewe lazima awepo toreira timu itembee mimi nje nina mata nina herrera hao wote wanacheza namba ya fred nina scott nina pogba hao wote wanacheza hapo nina matic
So ukiangilia utoto unaofanya huna tofaut na ujinga wako wa jana kwamba tanzania anafungwa na kep vede unakop takataka unaleta jf bila kutumia akili
Toreira na gunduzi wana goli ngapi?Wewe kweli nanga, Mo alimsajiri acheze ila kila akicheza bora Nyoni wa azam,
Halafu unakimbilia kwa post ya starz kufungwa,
Au hujui starz alikula 3-0?
Sasa unashangaa et starz kushinda 2-0 ,wakat unajua fika starz kaotea, unajua fika tanzania mpira bado sana,
Tunarud palepale, Fred ni garasa ,na hii ni kutokana na mpira wenu mbovu na mou kudandia wachezaji asiojua jinsi ya kuwatumia,
Wewe kweli mpira hujui, nimeamini ,Toreira na gunduzi wana goli ngapi?
Dogo hapa utapata aibu fred anachezeshwa kiungo cha ulinzi hadi anafunga goli huoni faida?Wewe kweli mpira hujui, nimeamini ,
Kiuongo mkabaji sio magoli ,wewe hufai kujadili mpira na mimi,
Sikutegemea uniulize swali hilo, kwa kiungo DM ,
Kante anamalizaga msimu bila goli lkn unamkuta kikosi bora cha dunia ,ulishajiuliza kwa nn?
Ngoja nikupe umuhimu wa Toreira pale arsenal
View attachment 900747
Yaan wewe mpira hujui ,halafu hujijui kama hujui ndio shida hiyo,Dogo hapa utapata aibu fred anachezeshwa kiungo cha ulinzi hadi anafunga goli huoni faida?
Wewe kweli mpira hujui, nimeamini ,
Kiuongo mkabaji sio magoli ,wewe hufai kujadili mpira na mimi,
Sikutegemea uniulize swali hilo, kwa kiungo DM ,
Kante anamalizaga msimu bila goli lkn unamkuta kikosi bora cha dunia ,ulishajiuliza kwa nn?
Ngoja nikupe umuhimu wa Toreira pale arsenal
View attachment 900747
Halafu hizo without huna watu sisi hamna hiyo kitu sijui without yani timu inahitaj mtu awepo ifanye vizur huoni kama ni uchiziYaan wewe mpira hujui ,halafu hujijui kama hujui ndio shida hiyo,
Angekuwa ana umuhimu wa kuwapa magoli ,nadhan mou asingeshindwa kumpanga kila game amuokolee kibarua,
Huyo ni garasa
Ndio namueleza huyo jamaa anakomaa kwann hafungi kama fred mwenye goli moja ambaye akiwepo ndan anazurura tu, wakat akiwepo Matic timu inabalance kabisa, japo matic hafungiHuyu dogo yupo vzr sana.
DM sio kazi yake kufunga kuna watu hawaelewi hilo ndio maana huwezi kukuta kocha akamsema DM kwa kutofunga hata misimu 5 angalia mtu kama Matic msimu mzima ana goli ngapi.
Ila team ikiwa inaruhusu magoli DM atakuwa na maswali ya kujibu
Yani kiungo anaekupa magoli na asiekupa goli anaumuhimu kiungo asiekupa goli huu mpira wawapi?Ndio namueleza huyo jamaa anakomaa kwann hafungi kama fred mwenye goli moja ambaye akiwepo ndan anazurura tu, wakat akiwepo Matic timu inabalance kabisa, japo matic hafungi
Wewe kweli nimeamin mpira huujui ila unaudandia , nimeamin mpira una siri nzito sana, angekuwa anakupa magoli kwann mou anamuacha nje ?Yani kiungo anaekupa magoli na asiekupa goli anaumuhimu kiungo asiekupa goli huu mpira wawapi?
Dogo narudia fred usimfananishe na hizo takataka zakoWewe kweli nimeamin mpira huujui ila unaudandia , nimeamin mpira una siri nzito sana, angekuwa anakupa magoli kwann mou anamuacha nje ?
Nakupa mfano pale arsenal xhaka akicheza 6 anapwaya ila anakupa magoli ya rebound
Ila toreira akicheza 6 hutayaona magoli kwake ila atazuia kushambuliwa atasababisha wengine wafunge ,
Nadhan kichwa chako kitakuwa kimeanza kufunguka,
Kuna mwenzako humu humu alikuwa ananiita dogo ,siku akaja kushangaa natoka chumban kwa mama yake ,akaambiwa aniite babamdogo.,hivo kuwa makini maana mpira huujuiDogo narudia fred usimfananishe na hizo takataka zako
Wewe ndio umeongea point, angalau una hojaFred ni bonge la player sema hajazoea bado na pili kocha matatizo yake yanamfanya jamaa asiperform
Fred flop? Hizi bangi za wenger hazijawaacha salama mnatakiwa mumuone dokta maukiKuna mwenzako humu humu alikuwa ananiita dogo ,siku akaja kushangaa natoka chumban kwa mama yake ,akaambiwa aniite babamdogo.,hivo kuwa makini maana mpira huujui
Umekazana takataka , haya huyo fred mbona anazid kuwa flop?
Nipo hapa kukufundisha mpira , inaonesha wewe ni mshangiliaji tu hujui hata majukumu ya wachezaji, kwanza nawasiwasi hata mech huangaliagi, una hela ya kuangalia mpira kwanza?
Mm nibaba yako mdogo ,popote ukiniona anza kuniita babamdogoFred flop? Hizi bangi za wenger hazijawaacha salama mnatakiwa mumuone dokta mauki
Unaweza ukaitwa baba mdogo kwa kuwa ni mdogo ushafumuliwa na baba mwenye nyumba inategemea taulo umelivaa kwa mtindo upi wengine huwa hamna nguo