Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Level ipi unaisema. Unaongea pumba kweli. Hebu niletee statistics za mmoja mmoja hapo. Underrated Goalkeeper Kepa a
nafanya makubwa lakini hakuna anaesifu mpaka afanye de Gea
Kama Kuna kapoint Hapo mwishoni mwishoni.....nimejikuta kucheka kwa kwikwiBado anajifunza sasa ushabiki kwahiyo yupo na hamu sana kutafuta Mtu abishane Naye..
Humu JF tulikwisha Sahau Kuwa Kuna Washabiki Wa Arsenal! Wenzake Bado Wamebaki Neutral Wanasoma Upepo unakovumia lakini Yeye anajifanya Kuanza Kuongelea timu za wenzie..
Huwa ninamshauri Abaki Neutral Kama Mimi lakini anajiona anajua..
Mkuu huyo Unaweza sema Twin Brother Wa Malafyale anaebeba Ubingwa Wa EPL na CL Kila Msimu.
Lakini ikifika Mei tunawaonea Huruma japo nasisi tunaumia.
Minutes per goal conceded [Premier League]:
• De Gea - 51
• Cech - 65
• Kepa - 144
• Lloris - 180
• Ederson - 240
• Alisson - 240
Shots saved (%)
• De Gea - 64
• Cech - 76
• Kepa - 78
• Ederson - 81
• Alisson - 86
• Lloris- 87
Mimi Siwezi Kubishana na Wewe! Bishana na Hizi hapa Stats za Performance.
Then Nenda twitter au Kagoogle ulete useless stats zako hapa.
Nyie Mtengezeeni Kepa wenu Stats zenu wenyewe katika Forum za Chelsea lakini Mujue Kuwa Kepa hana Stats (Performance) yoyote Ya Kumzidi Alisson, Ederson or Lloris.
Manake Kabla ya Huyo Kepa Mulimtaka Alisson kwanza! Mbona Hamukwenda tu Kwa Kepa? Au hujui Kuwa Usajili Wa Kepa Ni Second Choice.

99 - Kepa Arrizabalaga made 99 saves in La Liga last season, 23 more than Thibaut Courtois (76) made in the Premier League. Prospect.
Underrated goalkeeper
Huyu kepa ndio nani?Mimi kama shabiki wa timu ya taifa ya Spain
De Gea Hana hadhi ya kucheza timu ya taifa tena. Kepa apewe nafasi. Kwanza Accurate long ball, ball control, saves, throws yupo juu.
Huyu kepa ndio nani?
Nyinnyi Washabiki Wa Chelsea Mulioanza Kupenda Mpira 2010 miaka 5 baada Ya Kuanzishwa Timu Yenu Huwa Mambo Mengi Hamujui Lakimi Kuuliza tu Hamutaki!!!!
View attachment 900093
Ukiangalia Hapo Juu utaona Lucasz Fabianski amefanya Saves Nyingi (36) kuliko Kipa wowote Yule Wa EPL msimu huu Wa 2018/19.. Sasa hapo tunaweza kusema Kuwa Fabianski Ni Kipa Bora au?
Hizi Stats zinawamisleading vibaya watu wengi...
Na Kikubwa Ni Kwamba Munacopy tu na Kupaste lakini Hamujui Zinavyokokotolewa!!
• Hivi Kipa Aliyepigiwa Mashuti 150 na Akafanya Saves 40, Na Kipa aliyepigiwa Mashuti 52 akafanya Saves 26 yupi Kipa bora hapo Kati ya Mwenye Saves 40 au 26?
Hapo ndiyo wengi Munaogloogle States Munaingia Chaka Mukamuona De Gea Mbovu...
Yani Umepata Wapi Ujasiri Wa Kumlinganisha Kepa na Court Kwa Kusema eti Kepa amefanya Saves 99 wakati Court ana Saves 76?
• Hebu Kakokotoe ujue hizo Saves 99 amezipata Kwenye Mshuti Mangapi? Then njoo na Ngonjera Zako hapa.
Usijeshangaa Kuwa Hizo Saves 99 kazifanya Kwenye Mashuti 300 aliyokumbana nayo, Na Court Kafanya Saves 76 Kwenye Mashuti 120.
Lamme Cut it Short! "You are right"
Kwa hiyo hiyo una maanish huyo "kapa" ni mcheza rede?Haufatilii mpira labda rede
Haswaaaa!!Kwa hiyo hiyo una maanish huyo "kapa" ni mcheza rede?
Hahaha nchi hii ina vichaa kwa hiyo hapa kocha wa spain huwa anapitia?Mimi kama shabiki wa timu ya taifa ya Spain
De Gea Hana hadhi ya kucheza timu ya taifa tena. Kepa apewe nafasi. Kwanza Accurate long ball, ball control, saves, throws yupo juu.