Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ZLATAN: MOURINHO SIO MGANGA WA KIENYEJI AU MCHUNGAJI

Hakuna kitu kitu kibaya duniani kama unafiki. Kuna watu wamejificha nyuma ya kasoro ndogo ndogo za wenzao ili kuficha madhaifu yao makubwa.

Mtu anakwambia Mou anagombana na wachezaji ndio maana haendelei. Sawa. Mou ni mwanadamu kama walivyo wengine. Istoshe hakuna kocha ambaye hii dunia hajagombana na wachezaji. Fergie ndio kabisa alikuwa mkorofi kupitiliza. United imefanya vibaya baadhi ya game watu wameamua kujificha kwenye kasoro ndogo ndogo za kibinadamu ili kukwepa lawama zao kubwa kwenye uendeshaji wa timu.

Zlatan amekiri mwenyewe kuwa Mou ni kocha mwenye uwezo mkubwa wa kisoka na amelezea hisia zake juu ya United na Mou.

"Nadhani Mourinho ni kocha sahihi kabisa kwa United na anaweza kubeba EPL, shida ni kikosi chake, sio imara ni dhaifu"
.

“Kila mwalimu anafanya vizuri kutokana na timu yake. Wasitegemee Mourinho afanye miujiza. Kwa kikosi kile ni ngumu sana kupata mafanikio kwa haraka"

“Ni mwaka wake wa 3 na asilimia kubwa wachezaji wengi amewakuta, baadhi wanacheza kwa namna anavyotaka, naamini waliobakia nao watabadilika”

Haya aliyosema Zlatan kwa mtu mwenye uelewa wa kisoka yanaeleweka kabisa.

United chini ya Mou imeshinda michezo 79 na kufikisha 60% ya ushindi. Na kupoteza mara 25 amekwisha shinda mataji matatu, 2016 Ngao ya Jamii, 2017 Kombe la ligi na 2017 Europa League – amefunga mabao 231 (1.76 kwa kila mechi) na kufungwa mabao 110 (bao kila baada ya dkk 107. Amefika fainali 4 [Uefa supa, FA, kombe la ligi, Ngao ya Jamii.
 
Umeongea point maaana hata ikitokea city saiv au liverpool wakaanza kuboronga; media zitaanza hoja za kwamba pep au klopp huenda kibarua akapewa mwingine. Hakuna tathmini ya kina inayofanyika kwa mou. Mi namkubali sana na ndy maana hua nasema Mou akipata wachezaji wa Calibre(haiba) yake ni kocha fundi sana. Cha muhimu tusikilizie ubunifu wake kwa mechi zinazokuja maana yupo kweny presha sana. Na jana alikua anafanya match scouting kwa yule dogo Lazio nafikir kweny mech ya sebia.
 
Bodi imetambua makosa yao mkuu saiv wanatakiwa kufanya uwekezaj wa wachezaj ambao wataingia moja kwa moja kwenyw timu ambao ni level ya kidunia ndo mana wapo kimya wangekuwa wametupia pesa za maana kocha angeshatimuliwa
 
Bodi imetambua makosa yao mkuu saiv wanatakiwa kufanya uwekezaj wa wachezaj ambao wataingia moja kwa moja kwenyw timu ambao ni level ya kidunia ndo mana wapo kimya wangekuwa wametupia pesa za maana kocha angeshatimuliwa
Yah wameona mistake iko wapi!! Naona kuna jitihada fulan wanataka kuanza nazo kweny dirisha la January!!
 
Nimesikia wood na mou wamekaa kikao,
Hope kitakuwa kinahusu koboresha timu
 
Wayne Rooney says Jose Mourinho has been made a scapegoat at Manchester United
By Rory O'Callaghan
Last Updated: 09/10/18 12:36pm

Wayne Rooney says Manchester United's players need to 'stand up' for Jose Mourinho
Wayne Rooney says Jose Mourinho has become an "easy target" at Manchester United and believes the players must take responsibility for the club's slow start to the season.
United moved up to the eighth in the Premier League with a 3-2 win over Newcastle on Saturday but remain seven points adrift of league leaders Manchester City.
The club has been forced to dismiss reports claiming that Mourinho is set to lose his job at Old Trafford and Rooney believes the Portuguese has been made a scapegoat for the club's underperforming players.

It's tough [at United], it has been a tough situation," Rooney told The Telegraph, after scoring both goals for DC United in a 2-1 win over Chicago Fire on Sunday.

"The players, the manager, it has been a tough start to the season.


"I know Jose is getting a load of stick but I said a few weeks ago, the players have to stand up.

"They have to be counted and they have to be better. The manager can do so much but then it is down to the players on the pitch to produce and probably collectively.

1:11



Moyes: Jose needs more time
David Moyes believes Jose Mourinho needs more time to improve the situation at Manchester United.
David Moyes says Mourinho deserves more time at Old Trafford
"It [the poor run of form] is a bit of everything coming together but Jose is an easy target. Some of the players have to be better."

Rooney believes the current situation at Old Trafford is similar to Louis van Gaal's two-year spell with the club.

"I said the same thing when Louis van Gaal was there," said Rooney. "He took a lot of stick but behind closed doors I said to the players, 'We have to be doing better'.

"Personally I think he [Van Gaal] set us up brilliantly the way but we didn't produce on the pitch so I am sure that is getting said behind the scenes."
 
Kuna lukaku wa ubelgiji na wa manchester uinted ile yule wa ubelgij anacheza na watu waliotimia kisoka haachi kufunga tukisema timu yetu ya kawaida watu wanakataa tunaamin lingard anaweza kmfanya lukaku afunge magoli kisha tunamponda sana kwamba sio striker
 
Leo umeongea cha maana sana. Swali je?
Sanchez
Pogba
Hererra
Fred
nao ni wachezaji wa kawaida hadi Lukaku anaonekana sio Striker?
 
Lukaku hamna kitu nafasi ngapi anakosa magoli ya wazi karibu kila mechi
Leo umeongea cha maana sana. Swali je?
Sanchez
Pogba
Hererra
Fred
nao ni wachezaji wa kawaida hadi Lukaku anaonekana sio Striker?
 
Leo umeongea cha maana sana. Swali je?
Sanchez
Pogba
Hererra
Fred
nao ni wachezaji wa kawaida hadi Lukaku anaonekana sio Striker?
Pogba kiungo mkabaji
Herera kiungo mkabaji
Sanchez anataka Kufunga mwenyewe
Fred bado haielewi man united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…