Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah Leo maflop wa Mourinho ndiyo wamemuokoa tulikuwa tunakufa kizembe sana OT
Mkuu sio ma floap ni kwamba kocha anachopigania kujitoa kwa asilimia zote kama walivyofanya leo au shaw alivyoamka
 
Mkuu sio ma floap ni kwamba kocha anachopigania kujitoa kwa asilimia zote kama walivyofanya leo au shaw alivyoamka
Naangalia watu waliofunga magoli wote siyo anaowapa nafasi Mara kwa Mara ndiyo maana nikawaita maflop wake
 
Paul Pogba ametimiza assist 12 katika Premier League tangu mwanzo wa msimu uliopita
:
Leroy Sané (17), Kevin De Bruyne (16) na Raheem Sterling (13) hawa ndio wachezaji pekee waliomzidi.
 
Ila team imecheza vizuri sema lukaku anapoteza nafasi nyingi sana za kuscore
Ni mzito mno ila anahitaji washambuliaji wa kusaidiana naye kwa karibu. Mara nyingi kunakuwa na distance kubwa kati yake na wasaidizi kwenye attack.
 
Leo kakazia bifu kwa dogo Rashford hata handshake hamna. What a manager!!! Ridiculous. Aondoke kabisa chizi yule
 
Tulimhitaj sana greizman kwa kweli mourinho alipoint kitu sahihi mlevi ed katuangusha sana
Wewe unamsema mlevi lakini kutokutoa pesa kumemweka uchi mtu anayejiita the special one.kumbe ghalasha. Lazima achape lapa
 
Wewe unamsema mlevi lakini kutokutoa pesa kumemweka uchi mtu anayejiita the special one.kumbe ghalasha. Lazima achape lapa
Jukum lake ni lipi? Kwani pep bila pesa angekuwa pale? Au umesahau 4g za leicester alizokuwa anakula mpira pesa
 
Wewe unamsema mlevi lakini kutokutoa pesa kumemweka uchi mtu anayejiita the special one.kumbe ghalasha. Lazima achape lapa
Et lazima achape lapa kamfukuze sasa wanaolipa tiket za gharama kiwanjan hata bango hawakubeba ila wewe huku jf unamfukuza kocha mkuu tubak na uswahili wetu wazungu wanaanza na chanzo kabla ya tatizo
 
Leo ndo imedhihirika kuwa wachezaji tunao ila kocha waku-trigger na kumaintain spirit ya ushindi ndo hatuna..
Morinho angekuwa ni mtu wa kuwatia moyo wachezaji wake timu ingekuwa mbali sana..ila mambo anayofanya ndo yanavunja moyo wachezaji na mwisho timu inashindwa kupeform kikamilifu..
Morinho ameshaua confidemce ya BAILLY..jamaa alikuwa mzyri sana ila ona sasa anavyocheza! Morinho aondoke utd..hiyo ndo solution ya mambo..otherwise akishashinda mechi mbili-yatu hivi ataanza tena maneno yake ya shombo..

Mou outtt;!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…