Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mou anawaambia substitute watatu wapashe dakika ya 10!!! Haijawahi kutokea hii.
 
Naona Newcastle wamemletea Morinho, ticket ya kurudi kwao ureno, yaani goli mbili ndani ya dk tano, kweli wachezaji hawamtaki Morinho.
 
Felaini ni wa muhimu sana aingie mapema
 
Mi kila siku nawaambiaga hapa mou kaishiwa mbinu mnakataa wengine mnamtetea ila kumbuka sisi tunataka matokeo yeye anajaribu wachezaji, kweli jamani xI nayo ni tatizo kwa timu kubwa kama hii naumia sana aisee
Siamin nachokiaona mkuu mpaka sasa tushapgwa 2
 
wewe ni shabiki wa mou.
alipo upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…