Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha ana akili kweli..mc tominay over fred..WTF...ashley young over dalot??
Anajenga timu,na bodi inamuamini mkuu.😀😀 Dalot amepata game moja amecheza vizuri mno,hajaaminika tena,unategemea kiwango chake kikue?
Msimu wa tatu huu,kocha bado hana starting XI
 
Sitoiangalia ManU mpaka huyu mzee aondoke
 
Aliemroga Mourinho kaishakufa...umepanga kikosi vizuri,tatizo linakuja Mactommy wa nini unamuacha Fred.

Inabidi tucheze na defensive midfielder 1 tu
 
E6
Sports.........🤓🤓🤓🤓

Jmosi hii tena tusikie Man- Utd kafungwa, mtu atuletee ALFULELA ULELA Hekaya za Abunuasi eti Kalimakenge alikataa kwenda Shule ESOPO, hata wakitoa drooo tu, kamata Lukaku fyeka, Pogba fyeka, Sanchez fyekeleaa mbali, hawa kina Lingard sukuma bench, Matial sukumilia na mashabiki woote wanaoshangilia na kuchezaa chikichichiki aaa sukuma ndani, na kama kuna wengine wanabet Man utd itafungwa sukumia ndaniiii......😂😂😂😂😂
 
Anajenga timu,na bodi inamuamini mkuu.😀😀 Dalot amepata game moja amecheza vizuri mno,hajaaminika tena,unategemea kiwango chake kikue?
Msimu wa tatu huu,kocha bado hana starting XI
Daah ngoja tuone
 
Nikisema man u inashnda bhasi itafungwa.. Nikisema inafungwa bhasi itashnda.. Hii hali imetokea tangu kombe la dunia sasa sijui mkosi wangu ni gani hapo?
 
Pole timu zote uingereza hadi sasa tayari zina 1st IX ispokuwa Man U huyo ndiyo kocha unayemuamini. Pole tena
 
Naona Mou kaamua kujilipua..mchezaji kama Martial hana impact yoyote anaanzaje kwenye mechi muhimu kama hii??? Leo disaster tena.
Nafasi ya Martial aichukue nani??
 
Aliemroga Mourinho kaishakufa...umepanga kikosi vizuri,tatizo linakuja Mactommy wa nini unamuacha Fred.

Inabidi tucheze na defensive midfielder 1 tu
Beki line yako ndo shida. Sema angemwacha mmoja kati Martial, Lukaku ili acheze Fred.
 
Hahahaaa bila kumsahau Mou tena huyu humsukumi unampiga bonge la teke
 
Mi kila siku nawaambiaga hapa mou kaishiwa mbinu mnakataa wengine mnamtetea ila kumbuka sisi tunataka matokeo yeye anajaribu wachezaji, kweli jamani xI nayo ni tatizo kwa timu kubwa kama hii naumia sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…