Halafu unatoa mfano wa chelsea timu ambayo kwa misimu kama 8 wamekuwa bora zaidi yetu hata ktk renk za uefa wapo kitambo top 10 sisi toka aondoke sir alex hatumo bado unalinganisha na timu iliyotimiaUnamtetea Mou sijui kakupa nini kikubwa Pira lake bovu hajawahi kunifurahisha kokote alipokuwa kuanzia Inter, Chelsea , Madrid na sasa ManU
Sivutiwi kabisa na mpira wake anawajaza frustration wachezaji wanakuwa hawajiamini uwanjani
We umeiona Sarriball inayochezwa Chelsea ? Sarri amewaambia wajiamini wachezaji wake wacheze wanavyotaka wawe huru
Sasa ulikuwa unataka afanyaje awawish bad luck au kuna vitu vingine sio vya kuuliza ujiongeze tuWakuu hivi hiki kitendo alichofanya Valencia leo cha ku wish good luck kwa team mates wenzake kupitia tweeter na Instagram kina maana gani.
Leo hatacheza,sasa kwa nini amewai kusema mapema.
Huyu mourinho ameshayakanyaga,Pogba ni kisingizio tu lakini ameshagombana na wachezaji wengi tu.
Mou out!!! Mou out!!!
Aje hata Yanga wanamhitajiHadi anatia huruma maana MUFC ndio timu pekee aliyokuwa na mpango wa kudumu.
Sijui atafundisha timu gani tena.
Atabidi afundishe timu ya taifa au afanye kazi nyingine.Hadi anatia huruma maana MUFC ndio timu pekee aliyokuwa na mpango wa kudumu.
Sijui atafundisha timu gani tena.
Iyo sio Kawaida mkuu,ndio leo mchezaji anawai kupost good luck kabla first eleven haijatajwa.Sasa ulikuwa unataka afanyaje awawish bad luck au kuna vitu vingine sio vya kuuliza ujiongeze tu
Yeye ndo captain kumbukaIyo sio Kawaida mkuu,ndio leo mchezaji anawai kupost good luck kabla first eleven haijatajwa.
Mourinho hadi anatia huruma kipindi hiki,,mbwembwe zote kushnei,,,,by the way kajitakia mwenyewe,huwezi msajili lukaku timu kubwa kama utd halafu utegemee akubebe,,,smalling,Jones hawa wote wakati wa babu walikua wanacheza gemu hazizid kumi kwa msimu,sasa saiz unawategemea unataka nin,,,,,watu wanamlaumu Ed lakini jamaa msimu wake wa kwanza na wa pili alipewa pesa nyingi tu hajafanya usajili mzuri,,hata kama mm ni bos lazima niwe disappointed kutoa tena mzigo ,,
Sky Sport ni heri wangekausha ili tukae kwa matumaini kuliko walivyotukata hivi.Jose Mourinho will be given more time by Manchester United to turn their season around
Manchester United have insisted they will remain patient with Jose Mourinho and dismissed reports the Portuguese would be sacked after Saturday's game with Newcastle.
Stories emerged on Friday night that a decision had already been taken to remove Mourinho, but Sky Sports News has been told this was "nonsense".
Sky Sports News has learned Mourinho's agent Jorge Mendes met with United officials in London on Friday.
However, it is understood United's executive vice- chairman Ed Woodward was not at the meeting and the discussions centred around David de Gea's contract with the manager's future not on the agenda.
itabaki historia ! mbinu zake zishafeli.....Mourinho ndiye kocha bora duniani. Ni aibu kubwa sana watu kama Bout na Ed Woodward wanamfundisha Mourinho namna ya kucheza na kusajili. Mourinho mpeleke hata PSV atabeba ubingwa. Mou ameikuta United nafasi ya 6. Msimu wa kwanza kabeba
Yuropa, Ngao ya Jamii, Carling Cup
Tuambieni basi ni kocha gani msimu wa 2017 ambaye alivaa medali tatu hata kama ni za mbuzi?
Msimu wa pili kamaliza na alama nyingi kuliko klabu yeyote ispokuwa Man City. Yaani ndani ya miaka miwili amecheza fainali 5 tofauti, CARLINGA, CA, YUROPA, FA na UEFA super cup ni kocha yupi England basi mwenye ubavu huo?? Mbona Ferguson alikaa misimu mitatu bila ubingwa tena akimaliza nafasi ya 3 mara mbili mfululizo akiwa na kikosi bora kabisa duniani kuanzia 2003 mpaka 2006 kwanini wa Mou imekuwa nongwa? Au kisa sio Muingereza mwenzao?
ED alimfukuza Van Gaal chini kwa chini leo nasikia wamepanga ujinga wao sebuleni wameshtukiwa wameanza kukanusha... ED ndo anapaswa kuondoka sio MOU. UNAFIKI UACHWE NAWAAMBIA. MOU NTAMKUBALI POPOTE ATAPOENDA KUFUNDSHA SOKA. FULLSTOP.