Team ya man u haina pressure sema pressure inasababishwa na hao majobless kina Rio na scholesMonaco ni kawaida kuuza wachezaji na pamoja na hayo Jardim hataiweza hii timu pressure ni kubwa kama Monaco ameifikisha no 18 huku United anaweza kuishusha daraja
Kama niliweza kuvumilia United ya Moyes, hii ya mpiga domo itanishinda?Mourinho kawafukuzisha kijiweni....
Alishasema msipofanya haya msimu huu utakuwa mgumu sana ukikaidi utapigwa tu hamna namnaHahahah this is madness.. Leo hii tunalaumu legends kina Rio, Scholes n Co kisa kumkosoa Mourinho? Like Mourinho is too perfect kukosolewa or what?? Eti mtu unafikia kusema 'u-jobless' unawasumbua.?! Hahah
Hata kama tunataka kutoa support kwa Mourinho, hiyo sawa ila mwisho wa siku yeye anachangia asilimia kubwa katika hii situation iliyopo Utd.
Wakati Scholes anamkosoa Pogba huku Mourinho anamtetea tuliona sawa, ila sasa hivi akimkosoa Mourinho eti ni 'jobless' guy anapiga tarumbeta.
Hata pep alisajili wakina nolito,bravo,jesus ana mbeba ila hamna kitu kupo kimya kwa kuwa anafanya poa kuna johnstone hao kwa pesa ndefu tenaKimsingi kweli Bodi imezingua kutompa Mourinho wachezaji anaowataka. Katika hili wanashindwa hata wao wamshike wapi Mou.
Ila tusisahau kuwa ni huyu huyu Mourinho aliwaomba wafuatao:
1. Mickhtaryan > tunajua kilichotokea.
2. Sanchez > tunajua kinachoendelea
3. Pogba > sitaki kusema kitu hapa, ni mchezaji mzuri ila kinidhamu recently ameboronga.
4. Bailly na Lindelof
Lazima tukubali kuwa sasa hivi Mou ana tatizo when it comes to 'Man Management'. Kama anashindwa kuwa manage hawa waliopo, kipi kinatuaminisha kuwa atabadilika kwa hao watakaokuja??
Ukimiliki mpira na mwenzako akikuzidi utabaki katikati ya uwanja sio!Hata Chelsea alopoonoka ktk timu kwenye awamu ile ya kwanza,moja ya sababu ilikuwa ni kutoelewana na tajiri kutokana na tajiri kutoridhishwa na uchezaji Wa timu pamoja na kocha kuendekeza uadui na timu pinzani pia na vyombo vya habari kwa maneno yake. Lakini wachezaji aliokuwa nao ni hao alowasajili yeye walioendana na mfumo wake. Siku hizi ukiendekeza defensive games utatobolewa hadi ushindwe kushoneka. Siku hizi unajilinda kwa kutumia namna unavyomiliki mpira na kushambulia
Watu mpo equiped vibaya!Tatizo la Monaco ni kubomoka kwa team.
Waliondoka wachezaji wengi sana.
1 benjamen Mendy
2 bernado Silva
3 timouth bakayoko
4 Thomas lemar
5 joao motinho
Wote hao ni wa kikosi cha kwanza na hajafanya replacement lazima team iyumbe
Mpira kwa wengine ni suppliment ya chakula mkuuWatu mpo equiped vibaya!
Mkuu umetema nondo tu....shukrani kwa kufungua watu humu wanaoamini board ndo shida akati mtu kuwatumia haweziHome hakuingiliki sa hivi...
From Hero to Nothing...
At the end kwa kua mioyo yetu ipo hapa tuendelee kuipenda timu yetu tu..
Kama in mabadiliko Utd inahitaji mabadiliko makubwa sana...
Hata manager anatakiwa abadilike.. CV doesn't matter kwa wakati huu..
Kitendo cha kumnunua Mkhi, Bailly, Pogba, Alexis na kushindwa kuwa-manage bado anafaa kweli???
Katika ulimwengu huu Wa soka LA kutaka mafanikio kila timu inafanya inachoweza kuleta mafanikio..
Mashabiki hatuna cha kujifariji kama Utd itabak kua Simba Wa kuchora uwanjani ili hali Forbers wanaongoza..
Madrid toka 2011 wamepta kina Jose, Carlo, Rafa na Zidane
Barca wamepta kina Pep, Tito, Martino, Lucho
Munchen wamepta kna LvG, Jupp, Pep, Carlo, Jupp tena
Kwa nini? Kwa sababu wanahitaji mafanikio..
Mbali ya waliostaafu au kumalza mkataba kama Pep, Lucho, na Jupp wengi hawakufikia malengo ndo maana wakaondoka au kuondolewa
Except Tito(RIP) na Zidane alijiondoa.
Why not Utd wakati tunahitaj mafanikio?
Kama ni kusajili sidhani kama Utd hawawezi kuleta hao anaowahtaji.. Swali ni Je ataweza kuwatumia?? Mani kamleta Mkhi, Pogba, Lukaku. Alex's and co??
Spurs hawana usajili Wa kutisha ila bado wanasimama na kina Barca, sisi je?
Kwa mini Ed alimleta Pogba, Matic and co. Then akamshindwa Toby?? kna swali hapa?
Kocha unamtaka nani kujenga timu?
Jerome Boateng... Really??
Sometime CV isn't enough..
Katika hili Jose ana wapnzan wachache..
To me Legends wapo sahihi,, na kama sikosei ni wachambuzi wale.. Mbna hata Sourness sio Mancunian ila kaongea?..
Si kosa mwanadamu kusema ukweli..
Macho ya wengi yalitazama mechi ya Juzi..
Utd is finished.. He hali ibaki hivi au mabadiliko? Ndio kitendawili.. Tunawaachia wenye mamlaka..
I'm nothing hata kiatu chake sina nafasi ya kukiosha ila kwa kua nina Uhuru wa kuchangia,, JM is finished.. hasa katika Man Management..
Mo Salah ypo Slow kwa sasa ila Jurgen Simwon katka media akiwaponda..
Nani akupiganie wakati kila siku unamsimanga?
Rio
Schools
Neville and co.
Wanataka mafanikio ya Utd ndio Furaha yao.. Otherwise wangekua wanafurahi now kama kina Jamie Carragher.
GGMU
Mkuu huyo sio Ryan Giggs aiseh ni majamaa tu wenye maoni kama hapa jamii forumsGiggs kacharuka huko insta
We've seen David Beckham leave for pennies.
We've felt the sting of 150 goal Van Nistelrooy leaving.
They stole Cristiano Ronaldo from us.
They nipped Carlito Tevez from under our noses.
El capitano Roy Keane had the biggest fallout ever.
Wayne f**king Rooney was transfer listed.
So somebody who dared to leave once is threatening to leave again, the door is to the left. Adios mofo.
Nobody is bigger than our club.
Nobody.
•
Follow @giggsholic for more
~
~
#mufc #united #europa #europaleague #champions #championsleague #championsleaguefinal #fa #facup #football #futbol #manchesterunited #manutd #manunited #adidas #nike #reddevils #red #manchesterisred #ggmu #oldtraffordView attachment 887202
Hiyo sio account ya giggs ni ya fans ambao hata weww unawrza kufungua na kuandika hayo maneno..Giggs kacharuka huko insta
We've seen David Beckham leave for pennies.
We've felt the sting of 150 goal Van Nistelrooy leaving.
They stole Cristiano Ronaldo from us.
They nipped Carlito Tevez from under our noses.
El capitano Roy Keane had the biggest fallout ever.
Wayne f**king Rooney was transfer listed.
So somebody who dared to leave once is threatening to leave again, the door is to the left. Adios mofo.
Nobody is bigger than our club.
Nobody.
•
Follow @giggsholic for more
~
~
#mufc #united #europa #europaleague #champions #championsleague #championsleaguefinal #fa #facup #football #futbol #manchesterunited #manutd #manunited #adidas #nike #reddevils #red #manchesterisred #ggmu #oldtraffordView attachment 887202
Kwa mfano hao wakifika 31 martial anakuwa na 26 means tayar kakomaa sijui unapata picha wanaachia uzoefu ufahamu kwa nini arsenal ya wakina nasri ilishindwa kusimama? Hamna wababe wote walikuwa madogo wanaupiga mwingi ila hamna roho mbayaPerisic,Toby,Jerome boateng,Mickh,Sanchez.....wakuu hawa wote wana 28+ alafu mtu anasema tunajenga timu hahahahahahahahaha
Ribbery na rouben wana miaka 33 wakat wakina kingsley korman wanasubir bench kizazi cha wazee kinaondoka taratibu watoto huchukua nafasi huwezi kufanya kama van gaal alivyofukuza wakina nani kisha unataka depay aingie maja kwa moja kwenye timu utapigwaPerisic,Toby,Jerome boateng,Mickh,Sanchez.....wakuu hawa wote wana 28+ alafu mtu anasema tunajenga timu hahahahahahahahaha
Newcastle wakitufunga bodi itavumilia?
Itakuwa ngumu sana kumvumilia sijui labda awe na bahat tu iwe droo au kupigwa watamchomoa ujue watu wametia pesa zao
Newcastle wakitufunga bodi itavumilia?