Hamna lolote Mou kizingizio chake kikubwa ni budget ya kusajili alafu mwisho wa siku anasajili michezaji ya ajabu anachoanhaliaga yeye ni majina makubwa tu ili apate kick halafu anashindwa kuwatumia mwisho wa siku anagombana naoHYakuna mpira wa zamani wala wa kisasa, ukisema hivyo unaonyesha wewe hujui mpira kabisa
Formation inaendana na wachezaji
Huo mfumo unaousema wewe ni wa kisasa walicheza Brazil dhidi ya Ujerumani kwenye Kombe la dunia 2014 wakafungwa 7 bila wajerumani wakiche counter attacking football. Nasisitiza, mfumo unaendana na wachezaji. Mou akipewa madaraka na pesa atawaleta wachezaji wanafit kwenye mfum o
Umewahi kumsikia Raul Gonzalez akilalamikia makocha hovyo hovyo kama hao jobless wa Man u ?Legends Wa Man U wengi wao wameitumikia timu na kuleta mafanikio makubwa ktk michuano ya ndani na nje hivyo wanaumia kuona jahazi linazama ndio maana wanaongea sana. Legends Wa timu zingune huenda hawakupata mafanikio sana ktk klabu zao hivyo sauti ya kuongea ni lazima iwe kidogo pia.
Umewahi kumsikia Raul Gonzalez akilalamikia makocha hovyo hovyo kama hao jobless wa Man u ?
Hata Chelsea alopoonoka ktk timu kwenye awamu ile ya kwanza,moja ya sababu ilikuwa ni kutoelewana na tajiri kutokana na tajiri kutoridhishwa na uchezaji Wa timu pamoja na kocha kuendekeza uadui na timu pinzani pia na vyombo vya habari kwa maneno yake. Lakini wachezaji aliokuwa nao ni hao alowasajili yeye walioendana na mfumo wake. Siku hizi ukiendekeza defensive games utatobolewa hadi ushindwe kushoneka. Siku hizi unajilinda kwa kutumia namna unavyomiliki mpira na kushambuliaHYakuna mpira wa zamani wala wa kisasa, ukisema hivyo unaonyesha wewe hujui mpira kabisa
Formation inaendana na wachezaji
Huo mfumo unaousema wewe ni wa kisasa walicheza Brazil dhidi ya Ujerumani kwenye Kombe la dunia 2014 wakafungwa 7 bila wajerumani wakiche counter attacking football. Nasisitiza, mfumo unaendana na wachezaji. Mou akipewa madaraka na pesa atawaleta wachezaji wanafit kwenye mfum o
Pengine Sera za klabu yake na ufanisi Wa real Madrid unafanya asilalamike. Na tangu Raul astaafu sidhani kama real imewahi pitia vipindi vigumu na virefu vya uborogaji kama hii timu yetuUmewahi kumsikia Raul Gonzalez akilalamikia makocha hovyo hovyo kama hao jobless wa Man u ?
Sijawahi kumsikia fernando hiero captain wa zaman wa madrid akichonga huyu mtu alicheza mpira wa kiwango cha juu kushoto alikuwepo carlos kulia alikuwepo salgado nne alicheza helguera wote sio wazungumzaji ni kweli madebe tupu yetu yanachonga sana kwa mfano bailly mech ya spurs alipondwa sana hadi alijibizana na philip neville pale unamtoa mchezon mtu mourinho mechi zinazofuata hakumpanga hadi juzi na valencia sasa kidogo karud kisaikolojiaLegends Wa Man U wengi wao wameitumikia timu na kuleta mafanikio makubwa ktk michuano ya ndani na nje hivyo wanaumia kuona jahazi linazama ndio maana wanaongea sana. Legends Wa timu zingune huenda hawakupata mafanikio sana ktk klabu zao hivyo sauti ya kuongea ni lazima iwe kidogo pia.
Kipindi cha mourinho hapa hawakucheza mpira ilikuwa ni vita hasa na barcelona liyokuwa ya moto na benitez pia walicheza soka bovu sna hadi zizou alipoichukua wakaanza kuamkaPengine Sera za klabu yake na ufanisi Wa real Madrid unafanya asilalamike. Na tangu Raul astaafu sidhani kama real imewahi pitia vipindi vigumu na virefu vya uborogaji kama hii timu yetu
Wale kinachowasumbua ni ujobless tu.Sijawahi kumsikia fernando hiero captain wa zaman wa madrid akichonga huyu mtu alicheza mpira wa kiwango cha juu kushoto alikuwepo carlos kulia alikuwepo salgado nne alicheza helguera wote sio wazungumzaji ni kweli madebe tupu yetu yanachonga sana kwa mfano bailly mech ya spurs alipondwa sana hadi alijibizana na philip neville pale unamtoa mchezon mtu mourinho mechi zinazofuata hakumpanga hadi juzi na valencia sasa kidogo karud kisaikolojia
Ndio ninachosema pengine Real Madrid haikutetereka kwa muda mrefu kama ilivyo kwa man u ndio maana hawaongei ongei. Ila nna uhakika kama Madrid ingepoteana kwa muda mrefu kama sisi jamaa wangeongeaSijawahi kumsikia fernando hiero captain wa zaman wa madrid akichonga huyu mtu alicheza mpira wa kiwango cha juu kushoto alikuwepo carlos kulia alikuwepo salgado nne alicheza helguera wote sio wazungumzaji ni kweli madebe tupu yetu yanachonga sana kwa mfano bailly mech ya spurs alipondwa sana hadi alijibizana na philip neville pale unamtoa mchezon mtu mourinho mechi zinazofuata hakumpanga hadi juzi na valencia sasa kidogo karud kisaikolojia
Legends Wa Man U wengi wao wameitumikia timu na kuleta mafanikio makubwa ktk michuano ya ndani na nje hivyo wanaumia kuona jahazi linazama ndio maana wanaongea sana. Legends Wa timu zingune huenda hawakupata mafanikio sana ktk klabu zao hivyo sauti ya kuongea ni lazima iwe kidogo pia.
swali gumu sana na hili linatokana zaidi na pressure iliotawala klabuni kwa miaka 6
kwa makocha ambao wameshavuka miaka 50 ya kuzaliwa kwa maoni yangu carlo ancelotti a.k.a ,mzee wa ‘diamond midfield’ atatufaa sana kwa miaka 3 huku tukiwasubiria ryan giggs, michael carrick,zidane, thomas tuchel wakiendelea kupata uzoefu.
View attachment 886094
- carlo ancelotti hajawahi kuwa mtumwa wa kutegemea mfumo mmoja wa ufundishaji soka ndio maana ameendelea kuwa mwalimu mwenye kuhitajika na klabu tofauti.unakumbuka msimu wake wa kwanza pale chelsea wakati mashabiki wanajiuliza ni ipi khatma ya washambuliaji drogba na anelka, carlo aliwatumia wote wawili kutokana na mahitaji ya mechi wakati huku kwetu jose mourinho hajawahi kutumia washambuliaji wawili kwenye mechi moja.alipokwenda real madrid aliachana na fasafa ya mourinho ya 4-2-3-1 na kuamua kutumia mfumo wake pendwa 4-3-3 huu ni msimu wa nne makocha wa real madrid wanatembelea nyota yake.
- yupo vizuri sana kwenye ishu ya kuwatafutia wachezaji sehemu sahihi za kuufurahia mpira wao, pale madrid alimgeuza di maria angel kutoka namba 11 hadi kuwa namba 10, alipokuwa ac milan alitengeneza utatu mtakatifu uliotishia afya za makocha wa timu pinzani na kumfanya ricardo kaka kuwa mtakatifu. pale chelsea alitengeneza utatu mtakatifu wa essien, ballack na lampard ulikuwa hatari zaidi kuliko chanjo ya pepo punda, kule mbele anelka na drogba walikuwa wanafunga magoli kama wana kichaa cha mbwa
- mpira wa karne hii ya 21 unaendana na kasi ya teknnolojia ila cha ajabu baadhi ya makocha wameendelea kuishi wakiwa na fikra za karne ya 20, bahati njema carlo ancelotti yupo kama software kila baada ya muda anaji update mwenyewe bila ya shinikizo. ukiwatazama makocha wengine licha ya mafanikio yao waliopata utagundua ni watumwa wa mfumo mmoja wa ufundishaji kwa kuanzia na guardiola, diego simeone, jurgen klopp na jose mourinho hivyo basi wanapokutana na watu wanaowafahamu vizuri kimfumo wanaishia kuweweseka. Alipokuwa juventus alipendelea kutumia mfumo wa 3-4-1-2 na aliamua kuwapa nafasi ya kucheza pamoja Zinedine Zidane akiwa numa ya Alessandro Del Piero na Filippo Inzaghi.
- ikiwa carlo ancelotti aliweza kufanya kazi na watu wagumu kama vile Silvio Berlusconi, Roman Abramovich, Uli Hoeness , Karl-Heinz Rummenigge na Florentino Perez kwa mafanikio sidhani kama atashindwa kufanya kazi na familia ya glazer pamoja na ed woodward na kama atatafutwa football director mwenye ushawishi kama marotta wa juventus basi itapendeza sana.
- pia carlo ancelotti yupo vizuri sana kwenye kujenga mahusiano na wachezaji wake na hilo amelidhihirisha alipokuwa real madrid, chelsea, ac milan na hata PSG. Alipokwenda real madrid aliikuta timu ilioachwa na mourinho ikiwa imegawanyika pande mbili na alifanikiwa kubadili hali ya hewa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwa muda mfupi wa kazi, naamini kwa hali iliopo manchester united anaweza kuirekebisha kwa wiki moja tu.
udhaifu wake mkubwa ni ukimya wake kwa wachezaji na hata kwa mabosi wake.
Giggs nae nadhani anaongea kiunafiki ili asionekana mbaya mbele ya pro-Mourinho yeye alikacha kuwa kocha msaidizi nyuma ya Mou hii inaonesha kutomkubali sasa leo inakuwaje anamtetea!!!!Giggs naye amuunga mkono Jose.
Ryan Giggs anaamini kwamba Jose Mourinho aendelee kuwa kocha wa Manchester United.
Kocha huyo wa Wales na winga wa zamani wa Manchester United amepigiwa debe kuchukua nafasi ya Mourinho na kiungo wa zamani wa Liverpool , Graeme Souness.
Giggs alikuwa Old Trafford Jumanne usiku kuangalia mechi ya UEFA ya Man United dhidi ya Valencia iliyoisha kwa sare ya 0-0.
Katika mahojiano na waandishi wa habari akitaja kikosi chake cha Wales , Giggs aliulizwa kama Mourinho anatakiwa kuondoka United," Hapana. Kwasasa wapo katika kipindi kigumu ."
"Nilishawahi kusema hivyo . Wataelekea wapi baada ya hapo ? Badilisha sasa hivi na utakuwa katika nafasi hiyo hiyo baada ya mwaka au miwili kirahisi sana. Naamini anatakiwa kubaki."
Hamna kitu kama hicho yeye alitaka kuwa kocha mkuu alishasema hawez kuwa assistant kocha tenaGiggs nae nadhani anaongea kiunafiki ili asionekana mbaya mbele ya pro-Mourinho yeye alikacha kuwa kocha msaidizi nyuma ya Mou hii inaonesha kutomkubali sasa leo inakuwaje anamtetea!!!!
Wale jamaa wa man u kina Rio na Paul scholes wa hovyo sana.Au roberto carlos na ronaldo de lima
Hata man u haina kipindi kigumu isipokuwa imejaa watoto wengi sana mule ndaniPengine Sera za klabu yake na ufanisi Wa real Madrid unafanya asilalamike. Na tangu Raul astaafu sidhani kama real imewahi pitia vipindi vigumu na virefu vya uborogaji kama hii timu yetu
Jardim asipoangalia ataishusha daraja Monaco kwenye ligi wako nafasi ya 18 na Champions league wamefungwa mechi zote na atapata taabu Sana kuwa-handle big players he is not the better optionWamlete Jose leornado Nunes Alves Sousa Jardim team itaimarika sana huyu Mourinho kazi imeanza kumshinda.
Badala ya kupambana na kina Guardiola na klopp yeye anapambana na Pogba !!! *****
Tatizo la Monaco ni kubomoka kwa team.Jardim asipoangalia ataishusha daraja Monaco kwenye ligi wako nafasi ya 18 na Champions league wamefungwa mechi zote na atapata taabu Sana kuwa-handle big players he is not the better option
Monaco ni kawaida kuuza wachezaji na pamoja na hayo Jardim hataiweza hii timu pressure ni kubwa kama Monaco ameifikisha no 18 huku United anaweza kuishusha darajaTatizo la Monaco ni kubomoka kwa team.
Waliondoka wachezaji wengi sana.
1 benjamen Mendy
2 bernado Silva
3 timouth bakayoko
4 Thomas lemar
5 joao motinho
Wote hao ni wa kikosi cha kwanza na hajafanya replacement lazima team iyumbe