ukuta mbovu ndio unamuweka Rafael mido ? Rooney na giggs nje?! Nani anaboronga unamkaushia. Nambie, kwenye bench la united zaidi ya anderson kulikua na mchezaji gani mwingne wa kubadili game? Acha mapenzi, analyze critically wewe. Tatizo la Man u ni Kocha na sio wachezaji.
badala ya Rafael mido alietoka majeruhi, angeanza Pogba ningemwelewa.