Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani nyie hamuhitaji mafanikio? Mbona klopp hana medali yyte tangu ameenda livapuli, kwann msimchukue nyie simeone.
 
Simeoni buana, ila ni mativator. Lakini naye mbinu zake ni za kuviziavizia adui ajichanganye amcharaze.
Huwa simuamini huyu ktk soka la kushambulia kwa kujilinda yupo vizur sana anamzidi hadi mourinho kupak bus ila watu wazur wa kaunta atak anao
 
David ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
Kwa hiyo hadi uefa kulikuwa hivyo? Hivi united ya 1999 na 2008 ulikuwa unatokea wap? Unatoaje mchezaj bora wa dunia kama unanunua marefa?
 
Huyu jamaa achana naye.
Kuna watu huwa wanavisababu vya ajabu sana manchester united ya babu haijawahi kuwa na safu ya hovyo ushambulizi na hata mabek tumemtoa kwao van persie kachukua kiatu na ubingwa sijui zile goli alikuwa akifunga kwa mkono na marefa
 
Kwani nyie hamuhitaji mafanikio? Mbona klopp hana medali yyte tangu ameenda livapuli, kwann msimchukue nyie simeone.

Halafu Wewe umekaa Kama Mwanamke Unayegombea Bwana na Demu wangu....

Yani Hujui namna Ya Kureply Post, Hujui Post ya Kishabiki Ni ipi ya kimpira Ni ipi! Upoupo tu...

Nashukuru Kuwa Mwanmme Mwenzangu Niliyemreply Kimpira amenifahamu..
Wewe Mwanmke Ni Vigumu Kuwafahamu Wanaume, Endeleza Mipasho Yako na Kidole Juu.
 
Mkuu hapo alikuwa sahihi timu hupewe escot kama kuna foleni
 
Pamoja na kwamba kocha ana matatizo lakini huyu jamaa ni wa hovyo sana kuupata umoja ni ngumu
 
Zidane si kocha sahihi wa Man United! Sioni namna ya kumuezesha kupata Mafanikio.
Ni kweli ila ndiyo kocha aliebaki kuwania nafasi baada ya mourinho kuondoka and is free available tufanyaje mkuu acha tu aje kuokoa jahazi
 
Naliona hilo kushindwa kuifunga valencia dhaifu nyumban ni tatizo hii ina maana hadi wachezaj kisaikolojia hawapo sawa inatakiwa mtu wa kubust winning mentallity zao
Wachezaji watakua sawa tu baada ya mourinho kuondoka maana hilo ndiyo lengo lao kuona kocha anasepa,ila kama wachezaji wanakosea sana kuiangusha club kubwa kama hii na bado wanalipwa hela ndefu, kocha na ishu zake zitatatuliwa na uongozi wa club.
 
Mbwa mkali ashakufa mwenye mbwa kasahau kuondoa bango wajinga wanalikimbia bango. Man u ilishakufa mikononi mwa babu ikazikwa na Van Gal sasa kufufuka ipo kazi. Kocha mzuri, wachezaji wazuri,kamati nzuri uwanja safi bado kipigo kiko pale pale.
 
Unatoa ushauri kwa jirani namna ya kupata chakula wakati familia yako inakufa kwa njaa.

Moja ya watu wanaongea kifala sana kuhusu soka ni ww, you know nothing zaidi ya google, bad enough una element za kudharau wenzako kuwaona hawajui alafu we unajua sana that's why na mm naku attack, and you know what? I will never stop til na ww ubadilike
.

By the way, chuo mnafungua lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…