Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho kuwa tofauti na wachezaji yeye sio wa kwanza,vijana wamepanga kumdondosha, anafaidika na breach of contract ni mourinhoView attachment 885312
Alipokua Madrid ni ilikua yeye Vs Casilas & Ramos
Aliporudi Chelsea, ilikua yeye Vs Harzard & Co
Now yupo Man Utd, ni yeye Vs Pogba & Co.

Am not saying wachezaji hawana makosa, ila kila nikiangalia trend ya Mou Vs wachezaji wake napata imani kuwa tatizo ni yeye.
 
Huwa namuona kocha wa buyern aliestaafu ni mjengaji wa timu sijui kwa nini bodi haimfikilii kumshawish zidane sizani mkuu mana nje ya champions lig hanna cha maana ni mzur ktk mech za mtoano mbio ndefu chenga
Hynkes mzuri mno yule babu sijui kwa nini pia hatukujaribu kumchukua
 
Mkuu unajua sana soka sio la kinazi....ni kweli simeone hata katika biblia alikuwa mtumwa wa Mungu hawezi kutuangusha hahahahahah
 
Alafu pia shida ya Man united huwa hatutaki kupambana na hard targets sisi huwa tu nataka easy target kama zidane.....hard target wengi ngumu kuwapata ila kuwapata ni bahati na inahitaji ushawishi why not tusiwafuate Jupp Hynkes yule ex-coach wa Bayern na simeone wa atletico
 
Ed hana ushawishi. David gill ndio alikuwa kichwa na pia ana jicho la vipaji. Alisaidis sana.
Huyu ed hakuna kitu. Anaangalia biashara tu
 
Pardew, Big Sam, Bruce are the earliest favorites to replace Mourinho
 
Ed hana ushawishi. David gill ndio alikuwa kichwa na pia ana jicho la vipaji. Alisaidis sana.
Huyu ed hakuna kitu. Anaangalia biashara tu

David ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
 
Hizo ni bla blah blah tu. Hakuna cha kununua marefa. Maana kama ingekuwa hivyo FA wangewashtaki siku nyingi.
Kama hakukuwa na ushahidi , hizo kauli zinatoka wapi?

D.gill ndio CEO creative. Na man u hawatakaa wampate mchizi kama yule. Maana mpaka kuwafuatilia wachezaji alikuwa anafanya yeye. Kutafuta vipaji ilikuwa ni yeye.
SAF alikuwa akipelekewa taarifa tu.

David ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
 
Press conference ya Jana kocha anasema "we don't techincal qualities" , hapo hapo unaangalia ameanzisha Fellaini na matic nje wapo Pereira na Fred na Mata hahahahahaha huyu katuona hayupo vizuri kama yeye
 
Kitu nimeona ni kwamba msimu huu timu haitengenezi nafasi kama ule msimu wa kwanza wa Ibra. Ibra alikuwa anakosa sana magoli. Timu imekuwa nzito sana pale kati.
 
tatizo la viungo wa jana matic slow na fellain slow sasa tutashambuliaje vizuri bila kuwa na kasi. Hawa watu kucheza pamoja ni kama kuzubaisha timu tu
 
tatizo la viungo wa jana matic slow na fellain slow sasa tutashambuliaje vizuri bila kuwa na kasi. Hawa watu kucheza pamoja ni kama kuzubaisha timu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…