Unataka niambie huyo mpuuzi Mou alivyoingia sintofahamu na wakina hazard na Willian alipokuwa Chelsea na kufanyiwa mgomo baridi , inamaana captain Wa Chelsea Wa kipindi hicho (JOHN Terry) HAKuwa na sifa stahiki za kuwa captain????Nadhani tatizo la man u kwa sasa nikukosa uongozi.
Hawana kiongozi nje ya uwanja ( kocha) na hawana kiongozi ndani ya uwanja ( captain) huyu Valencia ni kama yupo kuvaa armband tu vinginevyo team haitafika mbali chini yake.
Haonekani kama yuko uwanjani kuwaongoza wenzake kama angekuwa kiongozi makini angelitatua suala la pogba na mwalimu wake.
Lakini pia kuna watoto mule uwanjani is like kama huwa wanaenda kuchezea mpira na siyo kucheza mpira lakini bado Valencia haonekani kuwakemea .
Niliwahi kushuhudia Rio Ferdinand akimkoromea Phil Jones kwa kufanya kosa la kipumbavu mpaka tukakoswa goal nilimuona akibadilika na kucheza vizuri team yetu pia kwa sasa inahitaji mtu wa hivyo uwanjani.
*Haiwezekani team inapitia katika wakati mgumu haipati matokeo watu wana stress alafu Lukaku anaendelea kunenepa 🤣🤣🤣*
Very defensive approach , mou hana la zaidi ndugu YanguHebu angalieni huu ulinzi na kitimu tulichokuwa tunacheza nacho. Hapa unategemea players kuonyesha uwezo wao?View attachment 882056
Hakika Mkuu!Pole Sana mkuu. Sometimes inatia huruma. But this will end one day
Hujaona hapo juu nimesema kwamba man u haina kiongozi nje ya uwanja ( kocha)Unataka niambie huyo mpuuzi Mou alivyoingia sintofahamu na wakina hazard na Willian alipokuwa Chelsea na kufanyiwa mgomo baridi , inamaana captain Wa Chelsea Wa kipindi hicho (JOHN Terry) HAKuwa na sifa stahiki za kuwa captain????
Jana Rio Ferdie kasema "Issue ya Pogba ni ya wachezaji wote ila Pogba ni visible tu nyuma yake kuna lundo la wachezaji"
Ni Genious ndio anaweza elewa hili
Yaan wanaangalia wenye nyumba tuu, afu wee jamaa umemdashi mwenzioPole man, ndo maisha ya ushabiki yalivyo.
Hali ilivyo kwenye banda moja, Westham vs Man Utd.
View attachment 881510
Pole sana....Sie Wenger tulishamfurumusha, Tuna maisha mapya walau mdo mdo na UNAI EMERYPoleni ndugu zangu kwa haya tunayoyapitia,dahh!! Sasahivi hali imekuwa ngumu kweli kweli vijiweni hakukaliki,makazini tabu tupu,basi tujipe tu moyo na hili nalo linapita,linapitaje???? Mungu aingilie kati.... tujipe tu moyo pamoja na ugumu wote tuseme tu GGMU!!!
Asante best kutesa kwa zamu!!Everlenk pole sana na msiba huu
Atleast nyie japo mlianza vibaya ila Unai anatia matumaini makubwa eeeh hongereni kumvumilia Wenger kipindi chote,aisiii kwetu naona kama miaka elfu hahaha!!Pole sana....Sie Wenger tulishamfurumusha, Tuna maisha mapya walau mdo mdo na UNAI EMERY