Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natamani Morinyo na kikosi chake wangetazama mchezo unaoendelea Darajani muda huu. Team work, passing accuracy, tackles, attacks, unavutia mno.
Unaangalia mpira unaona kabisa kuna timu,wachezaji wanajuana,wanaongea.

Halafu unakuta mtu anasema Mou anatengeneza timu,
 
Najua anatazama kikosi alichokiacha. Mou huyu alikuwa anadhubutu ya kumuweka hazard benchi. Leo hii muone hazard anavyo perform. Kiburi chake huwa kinamponza sana
Na Ibra angemsikiliza angemuuza Hazard😀😀😀
 
Rio yuko smart ktk hili. Wengi wanafikiri issue ni Pogba, Pogba ni mfunga kengele tu kwa paka.
 
Sio kweli anampamba anamharibu vibaya sana scott yule ni kiungo mzur mno leo ukamchezeshe namba mbili wakat kuna dalot hizo si bangi mkuu? Leo nimeona kitu cha ajabu scott kashindwa kabisa kupanda maana yeye sio namba 2 muda wote yupo nyuma tu angalia scott alipopanda kidogo shuti alilopiga wakat lukaku yupo dakika 90 kashindwa kuachia kombora kwa leo upande wa scott kanikera sana
Dogo kacheza vizuri sana kwa leo
 
Kwa kiwango cha Chelsea na Liverpool, Man United tunatakiwa tukacheze Championship.
Hii timu inabidi ipate kocha mpya aifumue aanze upya,kuna matozi wengi sana. Ukizingatia hakuna nahodha wa kuwaambia waache utozi,na Mou hana tena sauti tuendelee kushuhudia vibano vizuri tu mpaka bodi itoke usingizini.
 
Jinsi Mourinho anavyo-criticize wachezaji wake hadharani inaashiria anataka afukuzwe. Ana create atmosphere ya itakayofanya a-lose dressing room then afukuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…