Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,042
- 51,594
Kocha mpya philosophy mpya. Wachezaji wapya.Jose ameshakaa miaka 3 ndo huwa muda wake anatimuliwa hana jipya, lakini napo Man U hata akija Zidane bado mtapata tabu sana, wachezaji wa kiungo na Beki bado hamna
Wanasema kuvunjika kwa mkataba wake. Ita cost team pond 12 million. Mm naona bora tu wavunje kuepusha aibu hii
Hii patterm nimeishtukia. Kila timu lazima aondoke vibaya. Lazima azinguane na wachezaji..uongozi.. yaani kibur tu.Ndio style yake ya kuvuna mkwanja wa kutosha
Wakimfukuza tu inawatoka pesa nyingi sana
Muo sio mwalimu. Yeye huwa hatengenezi mchezaji na kumfanya bora. Anataka akute kitu kiko tayari kitumike.Man u ina wachezaji Bora Sana Tena wengi Sana. Tatizo lipo kwa kocha. Kwanini anataka anunue ambao tayari waliisha tengenezwa. Asitengeneze wa kwake anao hapo wengi tuu.
Huyu siyo mwalimu mzuri. Hakuzi vipaji anavibomoa hatufai.
Fuk him and his management. Unajua ed ndio chanzo cha mabalaa haya.hii hali ipo kama ile sinema ya vyeti feki, mwisho wa siku Ed na black suit atatokea na kusema "the board still has a lot of faith in manager and we will support him together till the end of his contract"
Ndicho muo anachotaka. Apige mpunga halafu aiache timu kwenye hali mbaya.Waendelee kumuacha mpaka timu ianze kugombania nafasi ya 17.
Wafanye fasta maana hali ni mbaya. Japokuwa aishabikii united. Ila nawaonea huruma, maana mou alitufanya chelsea kitu kama hiko hiko, katuacha kwenye hali mbaya akatimkia madrid.Tetesi zinaendeleaView attachment 881569
Inabidi tuongeze dua tuWafanye fasta maana hali ni mbaya. Japokuwa aishabikii united. Ila nawaonea huruma, maana mou alitufanya chelsea kitu kama hiko hiko, katuacha kwenye hali mbaya akatimkia madrid.
Mou aondolewe kabla hazidisha madhara makubwa kwa united
Sahizi tumtafute Joachim Low au Mzee Wenger tu. Hawa akina zidane ni heri ziwe tetesi tu
Inabidi tuongeze dua tu
Ha ha ha ha Mkuu kwa hali ilivyo hata Zahera au Hemedy Moroko watatufaa lakini si huyu aliyepoHapo kwa Wenger unatania au unakejeli?
Nakumbuka mpaka tunamtimua team ilikuwa katika nafasi ya 16Shukrani mkuu,hivi huyu jamaa si alitaka kuwashusha daraja kwa mtindo huu huu wa kujaribujaribu kila mechi?
Hajawah kua nao toka kaanza kufundisha soka,kilichokua kinamsaidia ni kununua wachezaj wa ghali na kupak bas,wameishtukia mbinu yake siku hizNarudia tena tukubaliane tu mourinho hana mbinu/kaishiwa ubunifu na ufundi katika ufundishaj mpira, yani mara nying anafanya kutest wachezaji wakati cc tunataka matokeo na ndo mana hatuna first eleven
Atakuwa anatania na kukejeli kwa pamojaHapo kwa Wenger unatania au unakejeli?
Hiyo inakuwa tofauti hata kama kuna mgomo unaisha kwa ulayaAsante ndugu, karibu jamvini. Tuna majonzi kwelikweli. Sijui siku tukikutana na wale majirani wakubwa itakuwaje na wale watani manake Kama Hawa watoto tuu wanatutia aibu namna hii. Daah