Martial amenunuliwa kipindi cha LVG tena mwaka wake wa pili,, pia kama Chamberlain anapata namba Liverpool basi Martial pia anapata namba bila shida
 
Ametemwa kwa kukosa michezo ya kutosha ngazi ya Club. He is more talented than Salah. Kwani Salah aliyeitwa kikosi cha Egypt kuna cha ziada alichofanya. Martial akicheza chini ya kocha makini, ni mzuri.
Since 2015 September aliposajiliwa mpaka Leo 2018 hiyo Talented bado haijaonekana tu Talented player huwa hajifichi Acha kabisa kumfundisha Salah na vitu vya kipuuzi eti hakuna mchezaji wa Liverpool amayeweza kupata nafasi United Huyo Martial anauwezo wa kupata nafasi kikosi cha kwanza cha Jurgen Klopp.
 
Unachobisha ni nini mkuu. Kwani Salah ana miaka mingapi kwenye game na ameanza kushine wakati gani?
 
huu ugomvi sio poa kwa timu kwan kun baadhi y wachzaj wtkuw upand w pogba n wengne w mou..

Hapo Wale Regular Starter Watashift Kwa Mourinho kuepuka Bench. Na Wale walio na Limited Game time Watashift Kwa Pogba Kumpressurize Mourinho.
 
Haaaaahaaaa
 
Unachobisha ni nini mkuu. Kwani Salah ana miaka mingapi kwenye game na ameanza kushine wakati gani?[/QUOTE]
Wewe mbona unajitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga lakini Martin na Salah ni vitu viwili tofauti hata kabla Salah kuja Liverpool Martial hajawahi kuwa bora kuliko Salah.
 
Unachobisha ni nini mkuu. Kwani Salah ana miaka mingapi kwenye game na ameanza kushine wakati gani?
Wewe mbona unajitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga lakini Martin na Salah ni vitu viwili tofauti hata kabla Salah kuja Liverpool Martial hajawahi kuwa bora kuliko Salah.[/QUOTE]


Ukianza kutukana ndo unadhihirisha werevu wako. Hatukuwa tunabisha kuhusu nani bora kati ya Martial na Salah. Hao ni watu wawili ambao age profile yao siyo compatible. Salah has shone at 28/29, probably because of team and coarching philosophy.

A footballer who has never been rumoured at his tender age of joining the likes of RM & BC, is an ordinary player.
 
No player is bigger than a Manager or a Club. Mourinho anajua cha kufanya in January.
Nakuhakikishia jamaa (Mou)hafiki january. Kashapoteza dressing room control. Kwa sasa mjiandae kiakili maana, Kwa jinsi anavyoongea kama mzaramo kwa kuwakosoa adharani wachezaji wake, hapa ni swala la muda tu. Akipatikana mtu ( coach) anayefit hiyo nafasi jamaa atapigwa chini.

Kuna mambo hayapo sawa pale klabuni. Na tatizo ni Mou.
 
huu ugomvi sio poa kwa timu kwan kun baadhi y wachzaj wtkuw upand w pogba n wengne w mou..
Hamna mchezaji anayependelea kuona timu inashambuliwa muda wote.
Pogba atakuwa na wafuasi wengi tu.
 
Mkuu Radika unahitajika huku uje na vile vi hoja vyako vyepesi kama tui la nazi vya kumtetea Mourinho .......... ulikuwa unalialia timu haina Beki hivi kwa akili zako mkuu Radika kuwafunga Derby County unahitaji kuwa na World class defender kweli.
Mkuu Radika tafadhari
 
Nachosema Mourinho kama manager mwingine alichofanya(kumvua unahodha Pogba) ni sawa. Pogba amepata kichwa hasa baada ya kuwa the expensive player then kuwin WC. But hajafanya lolote la kutisha kama wachezaji wengine. Kante ni bonge la mchezaji (high consistence performance) kuliko Pogba. Nakumbuka Ferguson alimtimua Roy Keane from Manchester United baada ya kuikosoa timu then ilikuwa behind the scenes (if I remember it right)
 
Matatizo ya United ni mengi sio kocha tu (Mourinho) kumbuka Moyes & LVG wamefundisha kabla ya Mourinho there was no any progress kibaya zaidi huenda cycle ya kuleta kocha mpya na kumfukuza itandelea until management watakapoweza ku-adress matatizo yote.There is no manager will fix this team in 2 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…