Kila siku nasema tukipata watu wawili wa kazi anapocheza fellain na bek mmoja au wawili tuna timu nzur sana mana pogba na fred watakuwa free bila kumsahau matic
Timu iliyokua inapiga mpira mzur england ni arsenal ya wenger kabla ujio wa pep na kocha wa spurs hata kipind yupo sir alex naona wengi mnachuk na wasahaulifu