Kwan hujui maana ya historiaChampions lig bado unayo moja nne umebeba miaka y 68 huko kama ni historia sijui zilikuwa zinaitwa takataka gani huko mwaka 1992 ikabadilishwa jina nakuitwa uefa champins league ulikaa kama miaka 27 hivi hadi 2005 we liverpool jikatae hapa hupawezi.
Ndo mana nimekwambia hapa hupawezi nenda jukwaani kwenu huko mkaambiene ma carbon 14Kwan hujui maana ya historia
Kua muelewa mzee
Dah unachekeshaKwa hiyo epl unazo? Miaka minne ya ligi nakufumua halafu unajitia upofu anza kufuta uteja
Umebeba lini epl Wa mzee wa carbon 14?Dah unachekesha
Mbn unazungumzia hstor tu hujui maana ya hii kauli " kwa sasa"mzee acha kukaza ubongo
Acha unafiki umeshinda game zote utafikir unakumbuka 2014 ulikufa ngapi hapo hapo OT?Kwa hiyo epl unazo? Miaka minne ya ligi nakufumua halafu unajitia upofu anza kufuta uteja
Mkachukua epl au vipi?Acha unafiki umeshinda game zote utafikir unakumbuka 2014 ulikufa ngapi hapo hapo OT?
No maana umesema umenibuluza kwenye lig miaka minneMkachukua epl au vipi?
Bwana ni nakuonea nikuache watafute aston villa na sunderland au everton ufanye nao mjadala mana manchester city,leicester city,arsenal na chelsea wote wanandoo za epl wakubwa zako haoNo maana umesema umenibuluza kwenye lig miaka minne
Huna point mzeBwana ni nakuonea nikuache watafute aston villa na sunderland au everton ufanye nao mjadala mana manchester city,leicester city,arsenal na chelsea wote wanandoo za epl wakubwa zako hao
ahahahah aisee!His Excellency, Field Marshal marouanne fellaini, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in european in General and belgium in Particular.
View attachment 867700
Anajua sana aiseeAbdoulaye Doucoure
Huyu mtu kuna kazi anaipiga pale watford ya kutukuka kimya kimya
View attachment 860181
hahahahahahaha relax! pole kijana karibu baadae tucheki game live Anfield tupunguze stress.Hvi unajua maana ya EUROPE???
Huenda hujui ndio maana
So hazard ulitegemea atajwe mbele ya leo,cr7,cavan,??
Manchester united sio sawa na chelsea ambayo haijawah hata kuwa na mchezaji aliyebeba tuzo ya dunia
Pogba akiingia vyumban ukutani kuna picha za wakina george best na sir bobby chalton kuna wakina ronaldo na giggs,bekham na scholes bila kusahau cantona na roy kean hao ni kwa uchache tu angalia hao wanaume walivyoitendea haki timu yetu na walipita
Hivyo basi pogba ni takataka na sisimizi kaangalie ile gemu liverpool anakufa goli mbili namba yake alicheza scott mctominay.
Kishaambiwa akitaka kuondoka awasilishe maombi
kwa mpira upi ? hampo kina veratti hawarudi....Nyumbu wa manu mmeona mpira wa wanaume nadhan Liverpool co level yenu kwa sasa
Mkafie mbele
Mtaishia kutumezea mate tu
Mwehu kwel et kwa mpira gankwa mpira upi ? hampo kina veratti hawarudi....
Wewe unakaushamba fulani hivi.shame on you!!Tazamen hii manyumbu wa manuView attachment 870499
Kaushamba gan uwe unafatilia vitu hujui afuu mbishiWewe unakaushamba fulani hivi.shame on you!!