Kumbe nilikujibu sahihi wakat unajua nna stres sasa povu lilikuwa la nini?Unataka adabu gani mkuu? Kwani nilichokosea kuandika apo ni nini Manure!? Ndo icho ulichoona? Ujaelewa popote? Acha kujitoa ufahamu mkuu. Bado una stress za kufungwa na Tottenham.
Hii sio MUFC ninayoijua,tumeshinda lakini hii ni aibu.
Nimekumbuka ile fainali ya UCL ya Chelsea na Bayern Munich.
Tunajilinda vile dhidi ya Watford kweli?? Unacheza na Watford roho unaishikilia mkononi?
Mimi siyo shabiki wenu. Ila nakwambia ukweli hakuna msimu Lukaku kamaliza hajafisha magoli 20 na kuendelea. Sijawahi kuna na shaka Lukaku.let's support our team. View attachment 868820
Mind your own businessTalk me to me about Alexis. Been at United for around 8 months and scored 3 goals in 23 games. No international breaks with Chile and a full pre-season to focus on United. He’s been awful for his standards & for someone who’s on £350k per week. Embarrassing
Hahahah huu ukweli unaumaeeeMind your own business
Sio jukumu lake kufunga yeye ni kutengeneza nafasiHahahah huu ukweli unaumaeee
Kwa hyo ndo tulipaswa kurudisha timu nyuma kiasi kile? Kuna kurudi nyuma kwa ajili ya kujipanga siyo kukaa mazima hadi watu wakapata goliUnaongea hivyo ukisahau kuwa kwenye ile mechi kuna dogo wa Watford anaitwa Doucure alikuwa akiorganize na kucoordinate mashambulizi vizuri pamoja na jamaa wao mmoja alikuwa amevaa jezi namba 37
Unapomuhukumu mshambuliaji,ili kujua ubora wake angalia goli anazofunga na anazokosa pia. Lukaku pamoja na hayo yote huwa anakosa magoli mengi tena ya wazi sanaMimi siyo shabiki wenu. Ila nakwambia ukweli hakuna msimu Lukaku kamaliza hajafisha magoli 20 na kuendelea. Sijawahi kuna na shaka Lukaku.
Naomba niletee na rekodi za ukosaji magoli na za misimu ya nyuma akiwa EvertonUnapomuhukumu mshambuliaji,ili kujua ubora wake angalia goli anazofunga na anazokosa pia. Lukaku pamoja na hayo yote huwa anakosa magoli mengi tena ya wazi sana
Kumbe nilikujibu sahihi wakat unajua nna stres sasa povu lilikuwa la nini?
Moja ya takwimu zake toka aanze EPL hadi sasa ni hivi:-Naomba niletee na rekodi za ukosaji magoli na za misimu ya nyuma akiwa Everton
Jibu si ulilipata kombe unalonywea maji wewe hayo si ndo matarajio yetu au uliuliza swali ukiwa na majibu yako mfukoni kwa hiyo usitupangie cha kujibuMimi na wewe ni nani aliye ongea povu? Mimi nmeuliza swali na badala ya kujib unaanza leta majibu za kipemba. Msimu ulitarajia makubwa sana lakini unaona upepo unaelekea kusini na ulitegemea ue nde kaskazin ..sasa ndo maan umekuwa ukiongea ongea tu
MpelekePogba anatakiwa na juventus.