Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika hii timu kuna muda sielewi nani wa kulaumu kati ya kocha au wachezaji.
Hebu angalia goli la Watford jamaa alivyofunga kilaiini kabisa. Vibweka vya pogba hadi anapoteza mpira. Hata hii kadi ya njano ya pili ya matic nadhani Martial aliporwa mpira akifanya ujinga.
 
Mkuu huoni kwamba kwa aina ya soka la Mou anatakiwa apate NO 9 mwenye control nzuri?
Kwa upande wa ushambuliaji bado kuna mapungufu hasa mtu anaetokea kulia pia ukiangalia pogba anavyocheza very slow yani timu inatakiwa iwe na kasi kutoka katikati kwenda mbele naona kinachotugharimu kama watu wawili au watatu wenye spidi
 
Kwel morihno kaishiwa mbinu au wachezaji ndio wanamuangusha?? Tim haina flow nzuri ya mpira wapiga piga to alimradi mpira umeenda mbele...
Poor United
Naona una stress... Kanywe juisi ya LIMAO NA PILIPILI kiasi utachotaka nakuja kulipa...
 
Kwa upande wa ushambuliaji bado kuna mapungufu hasa mtu anaetokea kulia pia ukiangalia pogba anavyocheza very slow yani timu inatakiwa iwe na kasi kutoka katikati kwenda mbele naona kinachotugharimu kama watu wawili au watatu wenye spidi
Ndio maana akaletwa fred ili kum supplement pogba
 
Fred atacheza sehem ya matic kwa kuwa ana kadi nyekundu fellain abaki aneo lile lile tuna kazi ya kupata kiungo mkabaji kuna kitu fellain kaonesha
Matic anacheza namba 6, nnavyojua fred anacheza namba 8 na kumi.

Namba sita nadhan perreira akiaminiwa anaweza. Fred sizan kama namba 6 inamfaa kwa uchezaji wake...

Kwenye mechi zijazo tarajia perreira kupewa namba ya matic...
 
Pogba anajua ila nadhani ana kiburi na majivuno. Kuna wakati naona bora wamruhusu asepe japo ana uwezo kusaplai mipira. Anapoza mpira sehemu mnapotakiwa kuamua haraka
Pogba is the best mkuu... Mi nadhan mou na pogba wangekaa wayamalize. That man is the best playmaker we have at this very moment.
 
Matic anacheza namba 6, nnavyojua fred anacheza namba 8 na kumi.

Namba sita nadhan perreira akiaminiwa anaweza. Fred sizan kama namba 6 inamfaa kwa uchezaji wake...

Kwenye mechi zijazo tarajia perreira kupewa namba ya matic...
Tutapigwa sana perreira si kiungo mkabaji ile timu viungo wengi wa ushambulizi kiungo mkabaji ni scott kiasili perreira kama pogba tu ila tunataka kumfanya kama herrera
 
Tutapigwa sana perreira si kiungo mkabaji ile timu viungo wengi wa ushambulizi kiungo mkabaji ni scott kiasili perreira kama pogba tu ila tunataka kumfanya kama herrera
Kwani Herera kawaje?? Ila ile kadi ya Matic ni magumashi
 
Tutapigwa sana perreira si kiungo mkabaji ile timu viungo wengi wa ushambulizi kiungo mkabaji ni scott kiasili perreira kama pogba tu ila tunataka kumfanya kama herrera
Kumbuka hata valencia alikua namba 7...ila kwa sasa ni namba 2 tegemezi.. Ningekua mou ningemjenga perreira awe namba 6 na ameonyesha anaeza akipewa nafasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…