Kwa sasa tunahitaji kushinda goli nyingi kwa kila mechi ili kupunguza Goal difference na Man City
Tupate kibonde kama Arsenal tumpige 8,msimu huu tuna rekodi nzuri sana ugeniniTukazane iviv ili GD iendelee kupungua...tukipata kibonde nwngn, piga 5 tena.
Tupate kibonde kama Arsenal tumpige 8,msimu huu tuna rekodi nzuri sana ugenini
Wadau wenzangu wana OT. Nimeamua rasmi kujitambulisha katika jukwaa la timu yetu ya MAN U. Naamini tutakuwa pamoja daima kushangilia timu yetu pasi na kujali ushindi au kipigo.
[h=1][/h]"We have good news on Phil Jones: he should be okay for Monday. He has some swelling in his jaw but there's no break, no fracture, which is good news."
Sir Alex Ferguson
Wakuu...
Nawatakia sikukuu njema ya Xmas...enjoy responsibly...
Naona lengo la kuongoza ligi Xmas halijatimia...ila tuna pace nzuri sana.....labda kutolewa UCL imetujenga zaidi.....
Merry Xmas mashetani wekundu...
Pia nawapa pole (kama wapo) mashetani wote wekundu waliokubwa na dhahama ya mafuriko Dar.