Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo Kwa Mara Ya Kwanza Naiangalia Hii Timu Daah Tumebadilika Sana Kiuchezaji Tukiendelea Ivi Kuna Kikombe Tutaweka Kabatini Na Hawa Watford Hawana Maajabu Yoyote Hata Kama Watashinda Izo Mechi Zao Nne Sijui Walipataje Ushindi
 
Sijafurahia tunavyochez kipindi cha pili. Kama tuliweza mwanzo,kwanini sasa hivi turudishe timu nyuma?
 
Mkuu unajaza thread kwa kurudia rudia post, acha kupanick.

Man Utd haina tofauti na gari la mkaa, tulioko barabarani tunaona limepinda ila dreva na utingo wanaona liko sawa.

Kupaki basi ndo jadi yenu.
 
Kwel morihno kaishiwa mbinu au wachezaji ndio wanamuangusha?? Tim haina flow nzuri ya mpira wapiga piga to alimradi mpira umeenda mbele...
Poor United
 
Naona dakika hizi ni mwendo wa kuminya korodani πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…