Leo sijui kitawakuta nini kwa Watford Tusubiri tuone
Mbona anafunga goli vizur tu sema kuna muda anakosa goli za wazi last season alifikisha goli 17 hizo ni epl tu msimu wake wa kwanza ktk mech nne za sasa ana goli 3 bado una wasiwasi na lukaku?Hivi lukaku mbona ubelgiji ni moto sana nini kinamsibu pale man united
Sasa mbona mnamlaumu sana Huku jukwaanMbona anafunga goli vizur tu sema kuna muda anakosa goli za wazi last season alifikisha goli 17 hizo ni epl tu msimu wake wa kwanza ktk mech nne za sasa ana goli 3 bado una wasiwasi na lukaku?
[emoji3] [emoji3] najua kote nimepita
Mkuu hivi unajua leo Spurs anakiwasha na Liverpool?
Kweli MUFC ni timu kubwa. Najua hapo unasubiria mechi ya United kuliko unavyosubiri yenu.
Lawama zipo kwa kila mchezaji mashabiki wa mpira ndivyo tulivyo hata hazard huwa anasemwaSasa mbona mnamlaumu sana Huku jukwaan
Hapo sawa mi nilifikiri ni nani alikuwa bora kati yaoNi takwimu za epl sio sisi idadi ya mechi na magoli waliyofunga yani muda uliotumika kuifikia rekod ya drogba naona wengi wanakurupuka huu mjadala hawalinganishi uwezo ni kama vile salah alivyovunja rekod ya ronaldo ya magoli mengi epl ktk msimu mmoja
[emoji3] [emoji3] najua kote nimepita
Hapa pia lazima nipite
Drogba ni hatar sana nafikir hata kipind chao beki zilikuwa ngumu sana tofaut na sasa naona bek mgumu kabak kompan tuHapo sawa mi nilifikiri ni nani alikuwa bora kati yao
Siku hizi beki HamnaDrogba ni hatar sana nafikir hata kipind chao beki zilikuwa ngumu sana tofaut na sasa naona bek mgumu kabak kompan tu
Hivi Morata yupo???Leo sijui kitawakuta nini kwa Watford Tusubiri tuone
Yupo kama hayupoHivi Morata yupo???
Bora mngebakisha Batman, lakini Giroud + Morata = RashfordYupo kama hayupo
Zidane bado. Hajajenga timu Mdrid. Madrid inabebwa individual brilliance. Timu japo inashinda, uchezaji wake km United.Kama Zidane atakubali kuja man united basi atakuwa amekubali kupoteza heshima yake aliyoijenga kwa tabu pale Santiago Bernabeu.
Giroud yuko vizuriBora mngebakisha Batman, lakini Giroud + Morata = Rashford