Mi namuheshimu sana mourinho ni kocha mzuri sana duniani na ukitaja makocha kumi bora duniani jina lake lipo
Nachoona kuna kampeni wachezaji wameianza wakiongozwa na pogba Sanchez na de gea
E&K
Hakufeli wao ndo waliokuwa wakipinga kwa mfano tobby na magure walikuwa wanataka kuja bodi ikazuia leo aliezuia akikuwepo uwanjani goli zimefungwa kwa njia zile zile
Hii press naiangalia kila saa nacheka sana. Mourinho ni mtu mmoja arrogant sana asee
Huyu kweli "LUKAKU" 😂😂😂😂
Laana ya Mzee Ferguson,hawajamjengea mnara wake hadi leoMan Utd mna mioyo miyepesi sana. Mechi 3 tu mnaanza kumwaga machozi, misimu 2 mnatafuta fimbo mchapane. Arsenal tulivumilia since 2007 cjui 2008 no kuvutana mashati. Vumilieni for next 7 yrs kama sisi. Mwanamme hutakiwi ukimbie mji sababu mvua imegoma kunyesha
Teh teh teh teh teh tehLaana ya Mzee Ferguson,hawajamjengea mnara wake hadi leo
Akifa ndiyo watajenga?
Team ina laana haitapata mafanikio
Hii bet imetimia. Ila nyie ndio mmekosa goli la kufuatia machozi kwa sababu nilijua mpo nyumbani lazima mpate hata goli moja.
Tukiacha ushabiki maandazi itapendeza sana. Katika hao mastriker uliwabandika hapo kuna striker yoyote anayemzidi Lukaku magoli.? Ok labda hilo ni gumu nitajie striker aliyemaliza na magoli zaidi ya 20 kama Lukaku katika misimu 5 iliyopita.Yes ndio maana nakuambia ni kikosi kinachoweza kuwapa matokeo na sio wale akina bolingoli striker mzigo mzito kama gunia la misumari
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisajiliwa msimu uliopita. Hakupata gametime ya kutosha kwa sababu ya majeruhi na consistencyHivi Lucas Moura kasajiliwa mwaka gani vile?
Tafuta kazi wewe yaani asubuhi yote hii unaleta taarabu kibaya zaidi utakuwa mshabiki wa aseno3333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333
Sent using Jamii Forums mobile app
Yashapita3333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333333
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hadi leo si bado unavumiliaMan Utd mna mioyo miyepesi sana. Mechi 3 tu mnaanza kumwaga machozi, misimu 2 mnatafuta fimbo mchapane. Arsenal tulivumilia since 2007 cjui 2008 no kuvutana mashati. Vumilieni for next 7 yrs kama sisi. Mwanamme hutakiwi ukimbie mji sababu mvua imegoma kunyesha