OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe usimtukane Mou ..ujui ni kocha bora? Huoni leo timu yake imeshinda tatu.!!Huyu Mpuuzi tangu achukue timu nilijua ataleta usenge wa mama yake Mreno.
Kwani De Gea anatumia diesel mkuu? Na yeye ni binadamu kama hao akina Bolingoli, inafikia hatua anachoka sasa kila siku anaokoa jahazi yeye tu, mwisho wa siku anaona huu ni uduanzi.Kuna kipindi man u ilikuwa mbovu afadhali ya sasa. De gea aliwa save sana sasa sijui saiv kawaje! Tangu Madirid wampotezee kiwango kimeshuka sana.
Hahaha He Karius
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mou kwanini amuoni Samatta?! Kila game anatupia magoli, tena si chin ya mbili..Team yenyewe tu haichezi kwenda mbele unategemea mabeki watakuwa katika hali gani lukaku ndio hivyo tena bora mkanunue samatta azibe pengo
E&K
Mpira ni magoli mkuuKocha alitaka CB hakupewa tusimlaumu sana leo hata kama tumefungwa ila vijana walionesha juhudi za kusaka bao.... Tumecheza vizuri sanaa
GGMU
Umemuona wakati anatoka uwanjani?
Sio kawaida yake, ni kama alikuwa anawaaga mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia takwimu mkuu naona umekuja na takwimu za mech iliyopita leo tumeshambulia na kutengeneza nafasi mabek wakiyajua majukum yao vizur walau ingetia moyo ukija lukaku sijui kawaje daaa ukianza kufungwa lazima mipango ivurugike sasa lukaku nae hakuwa makini timu inahitaj uwekezaj wa maana tuache utani kwa mfano huyo zizou isco na bale walikuwa wanakaa bench ambapo kwa united wanapata namba hata kama wagonjwaTeam yenyewe tu haichezi kwenda mbele unategemea mabeki watakuwa katika hali gani lukaku ndio hivyo tena bora mkanunue samatta azibe pengo
E&K
Pole sana mkuuAngalia takwimu mkuu naona umekuja na takwimu za mech iliyopita leo tumeshambulia na kutengeneza nafasi mabek wakiyajua majukum yao vizur walau ingetia moyo ukija lukaku sijui kawaje daaa ukianza kufungwa lazima mipango ivurugike sasa lukaku nae hakuwa makini timu inahitaj uwekezaj wa maana tuache utani kwa mfano huyo zizou isco na bale walikuwa wanakaa bench ambapo kwa united wanapata namba hata kama wagonjwa
Kovasic anatolewa kwa mkopo morata anauzwa sijui unafikor madrid ya zizou ilijuwa ya watu gani
Huyu Mpuuzi tangu achukue timu nilijua ataleta usenge wa mama yake Mreno.
Kocha alitaka CB hakupewa tusimlaumu sana leo hata kama tumefungwa ila vijana walionesha juhudi za kusaka bao.... Tumecheza vizuri sanaa
GGMU
Ya kuna muda bodi inatakiwa iheshimu maamuz ya makocha wanaopata tabu no mashabiki ukiangalia kocha alichoongele ndicho hicho kinatokeaPole sana mkuu
Ndio Mpira huo na una matokeo matatu
E&K
Kwani De Gea anatumia diesel mkuu? Na yeye ni binadamu kama hao akina Bolingoli, inafikia hatua anachoka sasa kila siku anaokoa jahazi yeye tu, mwisho wa siku anaona huu ni uduanzi.
Eti beki ni Smalling na Jones, striker ni mtu mzito Bolingoli, kweli utapata matokeo hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi man u ilikuwa mbovu afadhali ya sasa. De gea aliwa save sana sasa sijui saiv kawaje! Tangu Madirid wampotezee kiwango kimeshuka sana.
Hahaha He Karius
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna watu huwa hamjui kitu mnaorodhesha watu ambao kocha anaanza kuomba mpango wa pili baada ya chaguo la kwanza kufeliAlitaka Beki Hakupewa????????
Hivi nikuulize Wachezaji hawa: ↓
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
Mourinho aliwasajili Kama Mastriker?
Sasa hapo Kama £84.5m Kapewa Kwa Ajili ya Mabeki na Kashindwa Kuwatumia! Sasa Huo ujasiri Wa Kusema Kataka Beki Hakupewa unautoa wapi?
Umenena Mkuu, #thumbs up #GGMUHebu angalia hilo gape la uefa na ilichukua muda gani mpaka kuipata? Kama unaifahamu man u ya 2008 ni work on progress karibia miaka 6 mpaka fergie ilibidi atafute kocha msaidizi ambaye alikabidhiwa mikoba kama kocha mkuu, timu ilikuwa inafanya vibaya mno tulikuwa mpaka tunatolewa makundi uefa (refer benfica) hata ligi mourinho alitusumbua kipindi hiki. Kocha msaidizi akaleta vijana wake wanaoongea kireno kina kleberson, Anderson, Ronaldo, Nani na wengineo mpaka tunakuja kuipata man u ya 2018 tukatawala UEFA miaka 5 fainali 3 na nusu mbili kama sijakosea. fergie huyu huyu kwanini alishindwa kwa kipindi hiki? Inaonesha ukocha sio playstation kwamba unasajili na kupanga tu, ukocha una mambo mengi.
-moyes katutoa uefa katupeleka nafasi ya7 sijui 6
-lvg katurudisha uefa kisha akatutoa
-kaja mou katurudisha uefa, katupa makombe 3, tumefika knockout stage toka fergie astaafu, tumeshika nafasi ya pili ligi etc mafanikio yote hayo ndani ya miaka 2 unaanza vipi kusema kocha hafai? Unataka aje kocha mwengine kwa sasa timu irudi tena nafasi ya 7? Ndio furaha yenu hii kubadili makocha?
Hao liverpool walikuwa kama madrid na barca leo hii ni timu ya kawaida sana sababu ya kubadili makocha kila mwaka. Ngoja fukuza fukuza itokee man u na baada ya miaka 10 tuwe kama Everton ndio roho zenu zitatulia.
Wataishia kumfukuza kama akiboronga match 3 mfululizoYa kuna muda bodi inatakiwa iheshimu maamuz ya makocha wanaopata tabu no mashabiki ukiangalia kocha alichoongele ndicho hicho kinatokea
Uwe na akiba ya maneno nawaza ni kwa namna gani unashusha hasira zilizokukaa kifuani since 1992 sasa tuwape ushaur baadhi ya mashabik humu wajue ni namna gani mmevumilia na kupitia machungu nyie ni walimu wazur sana muwafunze watu humu.Hana lolote! Hile Kujifanya Adaka Sana ilikuwa Ni Mipago Yako tu Ya Kujiuza Kwa Real..
Real walipompotezea tu Kaamua Kurudia Kiwango Chake Halisi.
Wewe jamaa hoja zako zimekaa kitapeli tapeli , haki ya mungu wewe jamaa kama cheti chako sio Division 4 ni 0 kabisa.Angalia takwimu mkuu naona umekuja na takwimu za mech iliyopita leo tumeshambulia na kutengeneza nafasi mabek wakiyajua majukum yao vizur walau ingetia moyo ukija lukaku sijui kawaje daaa ukianza kufungwa lazima mipango ivurugike sasa lukaku nae hakuwa makini timu inahitaj uwekezaj wa maana tuache utani kwa mfano huyo zizou isco na bale walikuwa wanakaa bench ambapo kwa united wanapata namba hata kama wagonjwa
Kovasic anatolewa kwa mkopo morata anauzwa sijui unafikir madrid ya zizou ilikuwa ya watu gani