Nauliza tu huko golini yuko de gea
E&K
Huwezi kunakuta napanic najua tatizo lipo wapi mzee sijaanza kushangilia mpira sasa somaga hata post zanguKuna
Umepanic tulia dawa ikuingie vizuri
Hata aje zizou kwa ile bek tutapata tabu sanaPoleni sana cute b radika ngariba na ice man na man u yenu mbovu
Kwa mifumo ya mourinho mtapata tabu sana
Naona kampen ya toa mourinho old traford imeanza
E&K
Sasa ninamtaka Yule mpuliza zumari wa Mourinho ( Radika,) na genge lake la wahuni wa tandika, yombo, Manzese, keko na Ubungo waje hapa kumtetea muhuni mwenzao Mourinho.
Ninawasubiri sana kwa hamu.
GGMU To United Royalists Except Mou ....
Hakuna kocha wa hovyo duniani kama Mou aheri King kibadeni "Mputa".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha umepanic hahahaHuwezi kunakuta napanic najua tatizo lipo wapi mzee sijaanza kushangilia mpira sasa somaga hata post zangu
Ilikuwemo picha yake[emoji23]Nauliza tu huko golini yuko de gea
E&K
Naona unalazimisha kuifurahisha nafsi yako haya basi nimepanic so?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] watapata tabu sanaHawa Man U wameingia Chaka! Walipaswa Kuwauzia Madrid huyu De Gea pale walipokuwa na Nafasi..
Wangepata £70m..
Sasahivi wapi!! Kawa De Karius 😀😀
Hawa Man U wameingia Chaka! Walipaswa Kuwauzia Madrid huyu De Gea pale walipokuwa na Nafasi..
Wangepata £70m..
Sasahivi wapi!! Kawa De Karius 😀😀
Kuna kipindi man u ilikuwa mbovu afadhali ya sasa. De gea aliwa save sana sasa sijui saiv kawaje! Tangu Madirid wampotezee kiwango kimeshuka sana.Hawa Man U wameingia Chaka! Walipaswa Kuwauzia Madrid huyu De Gea pale walipokuwa na Nafasi..
Wangepata £70m..
Sasahivi wapi!! Kawa De Karius 😀😀
Team yenyewe tu haichezi kwenda mbele unategemea mabeki watakuwa katika hali gani lukaku ndio hivyo tena bora mkanunue samatta azibe pengoHata aje zizou kwa ile bek tutapata tabu sana