Mou nilionelea angefanya kutengeneza midfield duo-chemistry ya Ricardo-Fred halafu kwenye wide forwards angetengeneza Duo-Chemistries mbili ya kwanza Lukaku-sanchez na ya pili Rashford-Martial, halafu sasa huku kwa atacking Mid angesimama Pogba huku akiwekewa backup ya Herrera na Huku kwa Right wide forward angesimama Mata ambako huku nako akiwa na Backup ya Lingard at the sametime CB Duo ilitakiwa kuwa Rojo-Bailly full stop.